Category: Michezo
Rais Samia kutoa zawadi ya dola 60,000 bingwa wa CECAFA
Rais wa shirikisho la soka Tanzania( TFF) Wallace Karia ametangaza udhamini uliotolewa na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan wa mashindano ya Afrik [...]
Antonio Nugaz afunguka baada ya kuondoka Yanga
Kupitia instagram, Nuga amewashukuru ‘Wananchi’ huku pia akitoa ahadi ya ‘kuonana nao tena’, japo haijafamika ataonana nao kwa namna gani.
Nugaz am [...]
Manara kutambulishwa Yanga na Nugaz kuondoka
Klabu ya Yanga imetangaza kuachana na aliyekuwa afisa mhamasishaji wao, Juma Khatib Nugaz, maarufu kama Antonio Nugaz i.Uongozi wa Yanga unasema umeam [...]
Manara ampiga kijembe Mo, Morrison aingilia kati
Tangu aliyekuwa Msemaji wa Simba SC, Haji Manara alipoondoka katika klabu hiyo kumekuwa na mfululizo wa matukio mbalimbali ambayo yalipamba moto zaidi [...]
Ifahamu historia ya Haji Manara
Miaka ya 1970, Tanzania ilimshuhudia Sunday Manara, mzaliwa wa Kigoma aliyejaaliwa ufundi wa kusakata kabumbu. Sunday alifahamika kama 'computer' kuto [...]
Historia ya Yanga na mgogoro uliopeleka Simba kuanzishwa
kuanzishwaHistoria ya Klabu ya Yanga inatokea tangu enzi za miaka ya 1910, ingawaje historia kamili ilianza kuandikwa mwaka 1935. Klabu hiyo [...]
Timu za soka kongwe zaidi Tanzania
Mchezo wa soka umekuwepo Tanzania miaka mingi kabla ya uhuru. Japo inaelezwa kwamba kulikuwa na timu nyingi hapo kabla, historia za timu nyingi zimean [...]
Ronaldo akaribia kuachana na kibibi cha Turini
Leo Ijumaa Cristiano Ronaldo ametumia saa moja tu katika viwanja vya mazoezi ya klabu ya Juventus kufungasha kilicho chake pamoja na kutoa mkono kwa k [...]
Mambo makubwa manne ya kujifunza Manara kutimkia Yanga
Katika hali isiyokuwa ya kawaida aliyekuwa Afisa Habari wa Klabu ya Simba, Haji Manara ametangazwa rasmi kujiunga na Klabu ya Yanga kama mhamasishaji. [...]