Tag: Bunge la Tanzania
Diamond afanya kufuru
Mkurugenzi Mkuu wa Wasafi Media na mwanamuziki wa bongo fleva, Naseeb Abdul maarufu kwa jina la Diamond Platnumz amefanya kufuru kwenye sherehe ya har [...]
Marioo kuja na Davido
Msanii wa bongo fleva Marioo anayetamba na ngoma yake ya Mi Amore ametangaza kuachia remix ya wimbo huo pendwa akiwa amemshirikisha nyota kutoka nchi [...]
Uchunguzi na matibabu ya TB ni bure
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema serikali imefuta gharama za uchunguzi kwa wagonjwa wote wenye dalili za kifua kikuu waweze kupata huduma hiyo kwa [...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Machi 24,2022
Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania leo Machi 24, 2022. Husikubali kupitwa.
https://www.youtube.com/watch?v=njxSV [...]
AliKiba avunja ukimya
Msanii na mmiliki wa lebo ya Kings Music. Ali Kiba kwa mara ya kwanza leo Machi 24,2022 ameamua kum-follow mtu mmoja kwenye ukurasa wake wa Instagram [...]
Diamond: Niliomba nisishiriki
Msanii na mmiliki wa lebo wa Wasafi, Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz amefunguka na kueleza kwanini hayupo kwenye Tuzo za Muziki Tanzania (T [...]
Kili Paul ndani ya La Liga
Kili Paul maarufu kama Mmasai wa Tiktok ni kijana anayefahamika kwenye mitandao ya kijamii kutokana na uwezo wake wakufuatisha maneno kwenye video zak [...]
Fahamu jinsi uke wenye afya unavyonukia
Ni lazima uke utoe harufu lakini inabidi uwe makini na aina ya harufu inayotoka kama ni nzuri au mbaya.
Ukiona uke wako unatoa harufu kama ya samak [...]
Umy Mwalimu: Hakuna kirusi kipya
Kufuatia kusambaa kwa kasi kwa kirusi kipya cha UVIKO-19 ( Omicron BA.2) duniani, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kirusi hicho hakijafi [...]
Faida za kibiashara kati ya Tanzania na Qatar
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Qatar, Sheikh Khalid bin Khalifa bin Abdulaziz Al Thani ambapo wamekuba [...]

