Tag: Bunge la Tanzania
Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 18 (Bale mbioni kutua Arsenal Januari, Ansu Fati ngoma ngumu ndani ya Barcelona)
Aliyekuwa kiungo wa Chelsea na England Ross Barkley 27, anawaniwa na klabu ya Burnley dirisha dogo la usajili mwezi Januari (Sun). Kutokana na kiwango [...]
Tazama hapa Video 10 za Tanzania zinazo-trend YouTube leo Oktoba 17, 2021
Hizi hapa nyimbo zinazotikisa katika mtandao wa Youtube na chati mbalimbali hapa Tanzania. Usikubali kupitwa na ngoma hizi mpya tazama kupitia hapa ;
[...]
Rais Samia kufanikisha ujenzi wa jengo la tiba ya mionzi KCMC
Katika sherehe za Jubilei ya miaka 50 ya Hospitali ya KCMC, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu amesema Serikali itasimamia utekelezaji wa ahadi yake ya ku [...]
Rais Samia awataka wananchi wa Kilimanjaro kudumisha amani na upendo
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi wa mkoani Kilimanjaro kudumisha amani ili kuipa Serikali nafasi ya kutatua changamoto zao akiwa kwenye uz [...]
Serikali kujenga chuo kikubwa cha TEHAMA nchini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza katika kumbukizi ya miaka 22 ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerer [...]
Mbwa mwitu waiba begi la Shakira
Mwanamuziki kutoka nchini Colombia, Shakira ambaye pia ni mke wa Gerald Pique, mchezaji wa FC Barcelona, ameleza jinsi alivyovamiwa na mbwa mwitu akiw [...]
Songea namba 7 miji inayokua kwa kasi zaidi duniani
Ifikapo mwaka 2025 idadi ya watu duniani inakadiriwa itafika bilioni 8.1. Katika kipindi hiki miji mingi barani Ulaya imekuwa ikikua kwa kasi ndogo, l [...]
Usiyoyajua kuhusu Dkt Ashatu Kijaji, Waziri mpya wa habari
Dkt Ashatu Kijaji ameapishwa kuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari. Tumekuwekea baadhi ya taarifa zinazohusu safari ya Dkt. Kijaj [...]
Magazeti ya Leo Jumamosi, Septemba 11, 2021
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania leo Jumamosi, Septemba 11, 2021.
[...]

Video 5 za Tanzania zinazo-trend YouTube leo 10, Septemba, 2021
Hizi hapa nyimbo zinazotikisa katika mtandao wa Youtube na chati mbalimbali hapa Tanzania. Usikubali kupitwa na ngoma hizi tazama kupitia hapa ;
&n [...]

