Tag: Freeman Mbowe
Spika Tulia awakingia kifua Mdee na wenzake
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tulia Ackson amesema wanachama 19 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambao walivuliwa u [...]
Sababu 7 za kutembelea Tanzania
Tanzania ni kati ya mataifa yanayosifiwa kwa kuwa na utajiri wa vivutio vya kitalii vya asili,kutoka kwa wanyamapori wa kustaajabisha hadi fukwe za ku [...]
Fahamu njia 5 za kupata mimba haraka
Fanya mabadiliko haya kwenye lishe yako ili kuongeza uzazi wako.
Mdalasini
Mdalasini inaweza kusaidia ufanyaji kazi mzuri wa ovari na hivyo kuwa [...]
Serikali dhidi ya ukatilii wa wanawake
Serikali imesema itaendelea kuongeza jitihada katika mapambano dhidi ya vitendo vya ukatili kwa wanawake na watoto kwa kushirikiana na wadau wa maende [...]
Ajinyonga kisa ujumbe wa ‘Tuma kwenye namba hii’
Amos Tofiri (29), mkazi wa kijiji cha Lukunguni,mkoani Morogoro amejinyonga kutokana na deni la Sh 400,000 alizokopa na akazituma kwa mtu aliyemtumia [...]
Tanzania na Jamaica kuimarisha ushirikiano
Serikali ya Tanzania na Jamaica zimeahidi kuongeza maeneo mapya ya ushirikiano katika sekta za utalii, biashara na uwekezaji pamoja na elimu kwa masla [...]
Bongo Spider Man: Bora niache
Mchekeshaji Jackie maarufu kama Bongo Spider Man, amefunguka na kusema anaacha ubunifu wake wa kuchekesha kama spider man baada ya kuzuka kwa taarifa [...]
Tathmini ya ziara za Rais Samia Suluhu
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Zuhura Yunus, ametoa na kueleza dondoo za tathmini ya ziara za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. [...]
Diamond kununua ‘Jet’ 2022
Msanii Diamond Platnumz amewaambia mashabiki wake kwa kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa ana mpango wa kununua 'Private Jet' yaani ndege binafsi k [...]
Rihanna kufungua duka Kenya
Mwanamuziki na mfanyabiashara, Robyn Rihanna Fenty maarufu kama 'Rihanna' ametangaza kufungua maduka ya vipodozi vyake vya Fenty Beauty katika nchi sa [...]