Tag: Freeman Mbowe
Mambo 5 muhimu ya kufanya utokapo kwenye kazi hatarishi
Mazingira hatarishi au ambayo si salama kwa mfanyakazi yanapunguza morali ya ufanyaji kazi lakini pia yanamfanya mhusika akose kujiamini. Mazingira ya [...]
Hii ndio mitaa 4 iliyotengwa kwa machinga wa Kariakoo
Uongozi wa wafanyabiashara wadogo maarufu kama machinga, umetenga mitaa minne katika eneo hilo ambayo itatumika maalum kwa ajili ya shughuli za wajasi [...]
Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 21 (Tielemans mbioni kuikacha Leicester City, huku Dyabala mambo safi ndani ya Juventus)
Kiungo wa Leicester City Youri Tielemans 24, amekataa ofa ya kuongeza mkataba mpya, na kuvifanya vilabu vya Manchester United, Chelsea, Liverpool, Rea [...]
Makosa ambayo Mwanaume utakiwi kufanya kwenye muonekano wako
Mara nyingi watu wanavaa ili wapendeze bila kujali anavaaje, wakati gani na muda gani. Kwenye kuhakikisha unakua na muonekano mzuri unapotoka ni lazim [...]
Mbivu na mbichi kesi ya kina Mbowe kujulikana leo
Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi leo Oktoba 20, 2021 inatarajiwa kutoa uamuzi katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi in [...]
Faida 5 za kutoa Ushuzi
Watu wengi wamekua waoga sana kutoa ushuzi wakidhani kwamba wanakosea hivyo wanaamua kubana hewa hiyo chafu ndani yao bila kujua kwamba kiafya ni vyem [...]
Mambo 5 ya kuepuka kufanya kwa ajili ya Mwanamke
Kwa kuzingatia historia, mila, tamaduni na desturi, imezoeleka kuwa mara nyingi ni wajibu wa Mwanaume kuonesha upendo kwa mpenzi wake na kujitoa kwa h [...]
Wasira awashangaa wanaodai Katiba mpya sasa
Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Bunda, mkoani Mara na Mwanasiasa mkongwe nchini, Stephen Wasira akizungumza kwenye kipindi cha medani za siasa kinachorus [...]
Nafasi mpya za kazi TAMISEMI
POST: MHANDISI DARAJA II UJENZI (STRUCTURAL) – 134 POST
POST CATEGORY(S): ENGINEERING AND CONSTRUCTION
EMPLOYER: Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa n [...]
Waziri awataka watoa huduma sekta ya utalii kupata chanjo
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt Damas Ndumbaro amesema watoa huduma kwenye sekta ya utalii nchini wanatakiwa kupata chanjo ya Korona (UVIKO-19) kw [...]