Tag: habari kubwa za michezo
Maagizo ya Makalla kwa Taasisi hizi
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amezielekeza Taasisi za TANROAD, TARURA, DAWASA NA TANESCO kuhakikisha wanaboresha utoaji wa huduma il [...]
Wema amuumbua Mange
Muigizaji Wema Sepetu ameamua kumtolea uvivu mwanadada anyefahamika kama Dada wa taifa, Mange Kimambi kwa kumtaka aache tabia yakuandika taarifa ambaz [...]
Zungu amuahidi Samia urais 2025
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azan Zungu amemtaka Rais Samia Suluhu kutokuwa na wasiwasi kuhusu uchaguzi Mkuu ujao wa [...]
Mayele ampa mtoto bao
Mshambuliaji wa timu ya Yanga, Fiston Mayele amesema bao alilofunga kwenye mechi ya Ligi Kuu juzi kati ya timu yake na Geita Gold amempa zawadi mtoto [...]
Sabaya atemwa
Wakili aliyekuwa akisimamia na kumtetea aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya (35) na wenzake 6 amejitoa katika k [...]
Pasha afariki vitani
Muigizaji maarufu kutoka nchini Ukraine, Pasha li (33) amefariki akiwa vitani baada ya kushambuliwa na wanajeshi wa jeshi la Urusi katika mji wa Irpin [...]
Ukraine na Urusi zaungana
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula amesema kuwa hatua za awali zakuhakikisha wanafunzi wakitanzania wa [...]
Vijana 853 waliofukuzwa waruhusiwa kurudi kwenye Makambi ya JKT
Vijana 854 kati ya 24000 wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) waliofukuzwa na kusimamishwa mafunzo mwaka 2021 kwa kosa la vitendo vya uhasi wamesamehewa na [...]
Miriam Odemba aziwaza tuzo za BASATA
Mwanamitindo maarufu nchini, Miriam Odemba amejiunga rasmi na tasnia ya muziki ambapo katika siku ya kusherekea kumbukizi yake ya kuzaliwa akitimiza m [...]
Urusi na Tanzania mambo safi
Urusi yaridhia kusaidia kuondoa wanafunzi wa Kitanzania waliokuwa wamekwama katika mji wa Sumy Nchini Ukraine kuondoka nchini humo kupitia mpaka wa Uk [...]

