Tag: habari kubwa za michezo
Tanzania yaongoza kuwa na Nyati wengi barani Afrika
Tanzania inatajwa kuwa nchi inayongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya nyati barani Afrika kwa kuwa na jumla ya nyati 191,805.
Hayo yamesemwa na Waziri [...]
Rais Samia atangaza mkakati wa nishati safi ya kupikia
Serikali imetangaza dira na mkakati wa miaka 10 ya kuhamia kwenye nishati safi ya kupikia ifikapo mwaka 2023.
Akitangaza mkakati huo leo Novemba Mo [...]
Takeoff afariki dunia
Chanzo cha kuaminika cha habari za burudani toka Marekani, Hollywood Unlocked, umeripoti usiku huu (Kwa saa za Marekani) marapa wa kundi la Migos amba [...]
Rais Samia ataka mpango wa maendeleo wa kuhudumia wananchi mil. 61.7
Rais Samia Suluhu Hassan amesema ongezeko la idadi ya watu Tanzania ni mzigo kwa Taifa, hivyo lazima iwepo mipango madhubuti ya kuwahudumia watu milio [...]
Sababu ya maduka ya Game kufungwa
Kampuni ya Massmart kutoka Afrika Kusini inayomiliki maduka ya Game imetangaza kuwa Disemba 25, 2022 ni mwisho wa maduka yake kutoa huduma Tanzania.
[...]
Mgawo wa maji mbioni kuisha
Wakazi wa wilaya ya Ilala, Kigamboni na Temeke wako mbioni kusahau mgawo wa maji baada ya Mkuu wa MKoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla jana kuwasha pam [...]
Tanzania ya pili utoaji chanjo ya Uviko-19 Afrika
Mratibu Kiongozi Kimataifa wa Ubia wa Utoaji wa chanjo ya UVIKO-19 Bw. Ted Chaiban ameipongeza Tanzania na nchini nyingine Barani Afrika pamoja na wad [...]
Magazeti ya leo Oktoba 29,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Oktoba 29,2022.
[...]
Yanga yamtambulisha mwingine
Klabu ya Yanga imemtangaza Abdullazez Kipanduka kama ongezeko jipya kwenye timu yao ya Maudhui chini ya kitengo cha Habari.
Abdul ambaye alikuw [...]
Serikali imeifungia Shule ya Chalinze Modern Islamic
Serikali imeifungia Shule ya Awali an Sekondari ya Chalinze Modern Islamic kuwa kituo cha mitihani kwa muda usiojulikana kwa mujibu wa kifungu cha 4 ( [...]

