Tag: habari kubwa za michezo
Majaliwa: Isikilizeni serikali yenu
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewahakikishia wakazi wanaohama kwa hiari yao kutoka katika eneo la hifadhi ya Ngorongoro kuelekea kijiji cha Msomera, Ha [...]
Tanzania kushiriki Kombe la Dunia
Ujumbe wa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Mohamed Mchengerwa ukiongozwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara hiyo Bw. Saidi Yakubu wamekutana na kuf [...]
Tanzania yateuliwa kuwa Mjumbe Baraza la Amani na Usalama AU
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeteuliwa kuwa mjumbe wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika kupitia kanda ya Mashariki kwa kipindi cha mia [...]
Naomi Osaka kuzindua kampuni ya Hana Kuma
Mchezaji wa tenisi kutoka nchini Japan, Naomi Osaka anatarajia kuzindua chombo chake cha habari alichokipa jina la ‘Hana Kuma’ akishirikiana na bingwa [...]
Mwendokasi Mbagala kwa 650
Wakala wa mabasi yaendayo haraka DSM (DART) imetangaza ruti mpya ya mabasi hayo itakayoanzia Uwanja wa Maonesho wa Mwl J.K Nyerere (Sabasaba) hadi Mba [...]
Awamu ya 6 na mageuzi Bandari ya Mtwara 2022-23
Ile kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan ya "Kazi Iendelee" sasa inafanya kazi tena kwa kasi sana kwani serikali ya awamu ya sita chini yake inakusudia k [...]
Simba kumuaga Wawa
Klabu ya Simba imeamua kuacha na beki wake wa kati raia wa Ivory Coast Pascal Wawa baada ya mkataba wake kumalizika kwenye klabu hiyo yenye makazi yak [...]
Nabi amtamani Msuva
Simon Msuva yupo nchini tangu mwaka jana baada ya kuzinguana na timu yake ya Wydad Casablanca ya Morocco na kupelekana Fifa, ila juzi alifunga mabao m [...]
Ofisa Mtendaji, Mgambo wadaiwa kuua mwanafunzi kisa viatu
Ofisa Mtendaji katika kata moja wilayani Siha mkoani Kilimanjaro na mgambo, wanadaiwa kuwatembezea kipigo wanafunzi wanne na kusababisha kifo cha mmoj [...]
Magazeti ya leo Juni 21,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Juni 21,2022.
[...]

