Tag: habari magazetini

1 76 77 78 79 80 99 780 / 989 POSTS
Neema kwa mafundi uwashi Mtwara

Neema kwa mafundi uwashi Mtwara

Ilizoeleka kwamba miradi inayotokea kwenye maeneo mbalimbali nchini tenda ilikuwa ikipewa kwa mafundi na wakandarasi kutoka nje lakini hali imekuwa to [...]
Mange amkana mbea wake

Mange amkana mbea wake

Mmiliki wa MangeKimambi App, Mange Kimambi amesema msichana aliyekamatwa na mke wa msanii Roma Mkatoliki sio mfanyakazi wake na hivyo kinachoendelea n [...]
Alawiti na kubaka kisa chumvi

Alawiti na kubaka kisa chumvi

Jeshi la polisi mkoani Geita linamtafuta mkazi wa kijiji cha Bukori (jina limehifadhiwa), kwa tuhuma za kuwabaka na kuwalawiti watoto watatu wa darasa [...]
Harmonize: sifanyi promotion

Harmonize: sifanyi promotion

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Rajab Abdul maarufu kama Harmonize, amekanusha taarifa za kuwepo kwa video ya nyimbo yake kama baadhi ya waandishi wa [...]
Kubenea apigwa spana kesi ya Makonda

Kubenea apigwa spana kesi ya Makonda

Maombi ya mwanahabari Saed Kubenea ya kumfungulia mashtaka ya matumizi mabaya ya madaraka aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda k [...]
Uchunguzi na matibabu ya TB ni bure

Uchunguzi na matibabu ya TB ni bure

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema serikali imefuta gharama za uchunguzi kwa wagonjwa wote wenye dalili za kifua kikuu waweze kupata huduma hiyo kwa [...]
Wazazi wachochea binti kujinyonga kisa mapenzi

Wazazi wachochea binti kujinyonga kisa mapenzi

Binti mmoja mkaaji wa Kaskazini Unguja, Zanzibar amefariki baada ya kujinyonga kwa kamba ya katani chumbani kwake mchana wa Machi 16. Kamanda wa Po [...]
Steve : Natoa masaa 48

Steve : Natoa masaa 48

Msemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzania (SMT), Steve Nyerere ametoa masaa 48 kwa Mbunge wa Muheza, Hamisi Mwinjuma maarufu kama Mwana FA na wasanii w [...]
Kaburi la vijana wengi

Kaburi la vijana wengi

Vijana wengi wamekuwa wakishindwa kutoka kwenye kaburi la kupata mafanikio na kusonga mbele katika maisha na hii ni kutokana na kuwa ndani ya kifungo [...]
Ijue baiskeli ghali zaidi duniani

Ijue baiskeli ghali zaidi duniani

Huku wengi wakitafuta usafiri kununua ili kurahisisha mizunguko ya hapa na pale, wengi huwaza kwanza magari ya kifahari ambavyo pia gharama zake zipo [...]
1 76 77 78 79 80 99 780 / 989 POSTS
error: Content is protected !!