Tag: habari magazetini

1 77 78 79 80 81 99 790 / 989 POSTS
Faru Rajabu afariki

Faru Rajabu afariki

Shirika la Hifadhi ya Taifa Tanzania (TANAPA) limetoa taarifa kuhusu kifo cha Faru Rabaju aliyefariki usiku wa kuamkia leo Machi 21, 2022 akiwa na mia [...]
Pastor Myamba apata ajali

Pastor Myamba apata ajali

Emmanuel Myamba maarufu kama Pastor Myamba ametoa taarifa ya kupatwa na ajali mbaya yeye pamoja na familia yake wakati wakielekea kwenye ibada. Ame [...]
Kanye West afutwa Grammy 2022

Kanye West afutwa Grammy 2022

Rapa kutoka nchi Marekani Ye au Kanye West amefutwa kwenye orodha ya wasanii wanaotarajia kutumbuiza kwenye Tuzo za Grammy 2022 kutokana na matendo ya [...]
Waliofariki ajali ya Morogoro kulipwa

Waliofariki ajali ya Morogoro kulipwa

Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (Tira) imesema waathirika wote wa ajali iliyotokea mkoani Morogoro hivi karibuni na kusababisha vifo vya watu 23 [...]
Aina 5 za wanaume wanaoweza kuathiri mafanikio yako

Aina 5 za wanaume wanaoweza kuathiri mafanikio yako

Wanasema aina ya watu wanaokuzunguka inaweza kuonesha aina ya maisha unayoishi ama unayotamani kuyaishi. Huwezi kupenda mafanikio nauzungukwe na watu [...]
TMDA: Marufuku sigara hadharani

TMDA: Marufuku sigara hadharani

Kaimu Meneja wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba Tanzania (TMDA) Kanda ya Kati, Sonia Mkumbwa ameeleza kuwa watumiaji wa bidhaa za Tumbaku watatakiwa kut [...]
Mwaka Mmoja bila Magufuli

Mwaka Mmoja bila Magufuli

Leo Watanzannia wanaadhimisha mwaka mmoja tangu kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, Dk John Joseph Pombe Magufuli aliyefariki Machi 17, 2021, hu [...]
Ajinyonga na waya

Ajinyonga na waya

Abdul Kasuku (16) mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Mpigimahoge amedaiwa kujinyonga kwa waya jana asubuhi katika shamba la mihog [...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Machi 16,2022

Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Machi 16,2022

Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania leo Machi 16,2022. Husikubali kupitwa https://www.youtube.com/watch?v=njxSViO [...]
Mume aua mke na mtoto kisa mchele

Mume aua mke na mtoto kisa mchele

Jeshi la polisi linawashikilia wanaume wawili wakazi wa Nkungwi, Katavi kwa mauaji ya watu wawili. Dutu Maige akishirikiana na Yusuph Sita wanadaiw [...]
1 77 78 79 80 81 99 790 / 989 POSTS
error: Content is protected !!