Tag: habari magazetini

1 78 79 80 81 82 99 800 / 989 POSTS
Hali ya Watanzania waliopo Ukraine

Hali ya Watanzania waliopo Ukraine

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula amesema kuwa Watanzania wote waliokuwa wamekwama nchini Ukraine ku [...]
EAC yatahadharisha magonjwa ya mlipuko

EAC yatahadharisha magonjwa ya mlipuko

Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) imezitaka nchi za wanachama wake kuongeza kasi ya kuzuia na kukabiliana na magonjwa ya mlipuko katika kipindi cha mv [...]
Maneno 150 yaongezwa kwenye misamiati ya kiswahili

Maneno 150 yaongezwa kwenye misamiati ya kiswahili

Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA) limefanikiwa kuongeza misamiati mipya 150 kwenye Toleo la tatu la Kamusi Kuu ya Kiswahili kama hatua ya kukikuza [...]
GSM yafunguka sakata la moto

GSM yafunguka sakata la moto

Baada ya kiwanda cha kutengeneza magodoro cha kampuni ya GSM kilichoko Mikocheni mkoani Dar es Salaam kuungua na moto Machi 14, Mmoja kati ya wasimami [...]
Profesa Mkenda aruhusu vitabu vya ziada

Profesa Mkenda aruhusu vitabu vya ziada

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amepiga marufuku maofisa elimu kuzuia vitabu vya ziada kutumika na kuonya atakayebainika [...]
CCM kubadili katiba Aprili 1, 2022

CCM kubadili katiba Aprili 1, 2022

Katibu Mwenezi CCM, Shaka Hamdu Shaka, leo Jumamosi, amesema Aprili 1, 2022,  chama hicho kitafanya mkutano mkuu maalumu kwa ajili ya kufanya marekebi [...]
Tanzania kwenye ligi kuu ya Hispania

Tanzania kwenye ligi kuu ya Hispania

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro amefanya mazungumzo na Uongozi wa vilabu vya Atletico Madrid na Getafe vinavyoshiriki Ligi Kuu ya H [...]
GSM amkalia kooni Makonda

GSM amkalia kooni Makonda

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda anadaiwa kutaka kupora nyumba ya mfanyabiashara Gharib Said Mohamed wa kampuni ya GSM. Nyumba [...]
Bajaji Mbeya: Asante Rais Samia

Bajaji Mbeya: Asante Rais Samia

Vijana waendesha bajaji kutoka Halmashauri ya Mbeya kata ya Mbalizi wametoa pongezi na shukurani  kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Sa [...]
NECTA kuja na mfumo mpya wa usahihishaji

NECTA kuja na mfumo mpya wa usahihishaji

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema mfumo mpya wa usahihishaji mitihani utaokoa shilingi milioni 550 zinazotengwa kwa [...]
1 78 79 80 81 82 99 800 / 989 POSTS
error: Content is protected !!