Tag: habari za burudani

1 115 116 117 118 119 154 1170 / 1532 POSTS
Kodi zaipaisha TRA

Kodi zaipaisha TRA

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema mwezi uliopita imekusanya Sh trilioni 2.06 katika lengo la kukusanya Sh trilioni 1.98 taarifa iliyotolewa na [...]
Masoud Kipanya aja na gari la kuchaji

Masoud Kipanya aja na gari la kuchaji

Mtangazaji na mchora katuni maarufu nchini Tanzania, Masoud Kipanya kupitia kampuni yake ya Kaypee Motors amezindua gari ndogo ya mizigo inayotumia um [...]
Athari 3 za matango

Athari 3 za matango

Matango ni moja wapo ya matunda yanayopendwa sana na hutumika kama kinga ya mwili na kwenye urembo wasichana hupaka usoni ili kuwa na ngozi nyororo na [...]
Sababu za Afrika kukaa kando vita Urusi-Ukraine

Sababu za Afrika kukaa kando vita Urusi-Ukraine

Vita ya Ukraine na Urusi ambayo bado inaendelea imeitikisa dunia kwa kiwango kikubwa huku nchi, na kampuni mbalimbali zikichagua upande wa kuegemea ka [...]
Njombe wamshukuru Rais Samia

Njombe wamshukuru Rais Samia

Halmashauri ya Njombe mji ni miongoni wa Halmashauri ilionufaika na fedha za mpango wa ustawi na mapambano dhidi ya UVIKO-19. Miongoni mwa shule zi [...]
Utafiti: Nusu ya mimba duniani hazikutarajiwa

Utafiti: Nusu ya mimba duniani hazikutarajiwa

Ripoti mpya ya idadi ya watu inaeleza kuwa karibu nusu ya mimba zinazotungwa kila mwaka duniani zinakuwa siyo za kutarajiwa ambapo husababishwa na uko [...]
Rick Ross kufika kilele cha Mlima Kilimanjaro

Rick Ross kufika kilele cha Mlima Kilimanjaro

Rapa wa Marekani William Leonard Roberts II (Rick Ross) leo Machi 31, 2022 katika mahojiano yake na Full Send Podcast ameweka bayana nia yake ya kupan [...]
Njia 7 za kuishi na jirani mwenye gubu

Njia 7 za kuishi na jirani mwenye gubu

Mbali na kuangalia kama mwenye nyumba anaishi eneo hilo hilo unalopanga jambo lingine la muhimu kuzingatia ni aina za majirani wanaokuzunguka. Kuna [...]
Taliban: Hakuna kazi bila ndevu

Taliban: Hakuna kazi bila ndevu

Wapiganaji wa Taliban wamewaagiza wafanyakazi wote wa serikali wa kiume kuwa na ndevu na kuzingatia kanuni ya mavazi ama wafutwe kazi Shirika la ha [...]
Bashungwa apigwa spana na Samia

Bashungwa apigwa spana na Samia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa mwaka 2020/2021 kutoka kwa Mkag [...]
1 115 116 117 118 119 154 1170 / 1532 POSTS
error: Content is protected !!