Tag: habari za burudani

1 135 136 137 138 139 154 1370 / 1532 POSTS
Mfahamu John Okello aliyeshiriki Mapinduzi ya Zanzibar

Mfahamu John Okello aliyeshiriki Mapinduzi ya Zanzibar

John Gideon Okello ni raia wa Uganda aliyeshiriki katika Mapinduzi yaliyoitoa Zanzibar kutoka kwenye minyororo ya utawala wa Waarabu. Alizaliwa  mw [...]
‘Wagonga wanafunzi’ wafungiwa kamera

‘Wagonga wanafunzi’ wafungiwa kamera

Baada ya kuwepo kwa idadi kubwa ya wanafunzi kugongwa na magari na kupoteza maisha katika Barabara kuu ya Dodoma - Dar es Salaam, Halmashauri ya Chamw [...]
Pepsi na Coca Cola zaadimika mtaani

Pepsi na Coca Cola zaadimika mtaani

Baadhi ya wafanyabiashara jiji Dar es Salaam wamesema kwamba soda zinazotengenezwa na kampuni za  Pepsi na Coca Cola zimeadimika kwa muda sasa tangu D [...]
Mwenyekiti CCM Shinyanga ataka bango la Ndugai ling’olewe

Mwenyekiti CCM Shinyanga ataka bango la Ndugai ling’olewe

Mwenyekiti wa CCM Shinyanga, Khamis Mgeja amesema kwamba kitendo kilichofanywa na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Job Nd [...]
Ajinyonga kwa kamba za viatu

Ajinyonga kwa kamba za viatu

Mwanaume mmoja mkazi wa Mtaa wa Rungwa kata ya Kazima Manispaa ya Mpanda, Edmond Sungura (53) amekutwa amejinyonga hadi kufa chumbani kwake kwa kutumi [...]
Temeke wakamilisha ‘madarasa ya Rais Samia’

Temeke wakamilisha ‘madarasa ya Rais Samia’

Bilioni 3.14 zilizotolewa na serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan zimewezesha kukamilika kwa ujenzi wa vyumba vya madarasa ya sekondari 157 katika wil [...]
Majaliwa avunja ukimya kuelekea uchaguzi 2025

Majaliwa avunja ukimya kuelekea uchaguzi 2025

Waziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa amesema kuwa hana mpango wa kugombea urais katika uchaguzi wa mwaka 2025 kama ambavyo [...]
Diamond Platnumz, Director Kenny wapeperusha bendera ya Tanzania AEAUSA

Diamond Platnumz, Director Kenny wapeperusha bendera ya Tanzania AEAUSA

Msanii Diamond Platnumz kutoka lebo ya Wasafi anayetamba na wimbo wa 'Unachezaje' ameshinda tuzo ya msanii bora wa mwaka Barani Afrika kwenye tuzo za [...]
Magazeti leo Desemba 25, 2021

Magazeti leo Desemba 25, 2021

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania Jumamosi Desemba 25, 2021. [...]
Magazeti ya leo Desemba 23, 2021

Magazeti ya leo Desemba 23, 2021

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania Alhamisi Desemba 23, 2021. [...]
1 135 136 137 138 139 154 1370 / 1532 POSTS
error: Content is protected !!