Tag: habari za burudani
Mgawo wa maji mbioni kuisha
Wakazi wa wilaya ya Ilala, Kigamboni na Temeke wako mbioni kusahau mgawo wa maji baada ya Mkuu wa MKoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla jana kuwasha pam [...]
Tanzania ya pili utoaji chanjo ya Uviko-19 Afrika
Mratibu Kiongozi Kimataifa wa Ubia wa Utoaji wa chanjo ya UVIKO-19 Bw. Ted Chaiban ameipongeza Tanzania na nchini nyingine Barani Afrika pamoja na wad [...]
Magazeti ya leo Oktoba 29,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Oktoba 29,2022.
[...]
Wenye visima ruksa kusambaza maji
Wakati Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa) ikitoa ratiba ya mgao wa maji, Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ametembelea eneo la mat [...]
Yanga yamtambulisha mwingine
Klabu ya Yanga imemtangaza Abdullazez Kipanduka kama ongezeko jipya kwenye timu yao ya Maudhui chini ya kitengo cha Habari.
Abdul ambaye alikuw [...]
Ratiba ya mgao wa maji Dar kuanzia Oktoba 27 hadi 30, 2022
Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam(DAWASA) imetangaza Ratiba mgao wa huduma ya maji kwa wakazi wa Dar es Salaam kuanzia Alhamisi Okto [...]
Magazeti ya leo Oktoba 27,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Oktoba 27,2022.
[...]
Mabehewa ya SGR yamkosha Waziri Majaliwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema ameridhishwa na kasi ya utengenezwaji wa mabehewa mapya kwa ajili Reli ya Kisasa (SGR) ya Shirika la Reli Tanzan [...]
Kweli walibadilishiwa namba za mtihani
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema kuwa baraza la Mitihani limejiridhisha kwamba watahiniwa katika shule ya Chalinze Mo [...]
Kuna nini WhatsApp ?
Mtandao wa WhatsApp umeonekana kukabiliwa na hitilafu baada ya baadhi ya watumiaji kuripoti matatizo ya kushindwa kutuma na kupokea jumbe mbalimbali k [...]

