Tag: habari za burudani

1 83 84 85 86 87 154 850 / 1532 POSTS
Askari auawa kwa mshale Ngorongoro

Askari auawa kwa mshale Ngorongoro

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.John Mongella amewataka wananchi Wa Tarafa ya Loliondo wilaya ya Ngorongoro Kuwa watulivu na kusikiliza maelekezo ya serika [...]
Rais Samia aliwaza mbali nyongeza ya mishahara

Rais Samia aliwaza mbali nyongeza ya mishahara

Mei 14,2022 , Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan alitimiza ahadi yake ya kuongeza mishahara kwa kutangaza kima cha chin [...]
Justin Bieber apooza uso

Justin Bieber apooza uso

Msanii kutoka nchini Canada, Justin Bieber ameweka video fupi Kwenye ukurasa wake wa Instagram akieleza wazi kwamba amesitisha show zake kutokana na u [...]
Ukweli kuhusu wakazi wa  Ngorongoro

Ukweli kuhusu wakazi wa Ngorongoro

Serikali  imesema wananchi wa maeneo ya Loliondo wapo salama ikibainisha kuwa “hakuna mapambano yoyote” kati ya polisi na wakazi hao wa kaskazini mwa [...]
Watu 18 wafa ajali ya basi mafinga

Watu 18 wafa ajali ya basi mafinga

Watu 18 wamefariki dunia papo hapo baada ya basi dogo aina Costa kugongana uso kwa uso na lori la mizigo karibu na eneo la Changarawe, Mafinga mkoani [...]
Samia: wapeni raha wafanyabiashara

Samia: wapeni raha wafanyabiashara

Rais Samia Suluhu amepiga marufuku wafanyabiashara kupewa ankara za kodi za miaka mitano hadi sita nyuma kwa kuwa hilo sio kosa lao bali ni la mamlaka [...]
Samia atoa milioni 500 kwa ajili ya  maji

Samia atoa milioni 500 kwa ajili ya maji

Rais Samia Suluhu anazidi kuzinufaisha mamlaka za maji baada ya kuagiza zipatiwe Sh milioni 500 kama mkopo kwa ajili ya kusaidia uunganishaji maji kwa [...]
Amuua mume wake kwa kumkaba usingizini

Amuua mume wake kwa kumkaba usingizini

Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Maria Matheo, anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Tabora kwa tuhuma za kumuua mume wake, Gabriel Nguwa (80 [...]
Magazeti ya leo Juni 10,2022

Magazeti ya leo Juni 10,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Juni 10,2022. [...]
Kesi ya Makonda yaondolewa

Kesi ya Makonda yaondolewa

Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kinondoni imetupilia mbali na kuiondoa kesi iliyomkabili Paul Makonda juu ya matumizi mabaya ya Ofisi na kuingilia matanga [...]
1 83 84 85 86 87 154 850 / 1532 POSTS
error: Content is protected !!