Tag: habari za kimataifa
Tanzania na Ufaransa zatia saini mikataba sita
Serikali za Tanzania na Ufaransa leo zimetia saini jumla ya mikataba sita ya makubaliano kwa nia ya kuendeleza uhusiano baina ya nchi hizo mbili.
W [...]
Atengwa baada ya kuimba na Harmonize
Muimbaji wa nyimbo za injili Jane Misso ambaye hivi karibuni ametoa wimbo akiwa na msanii wa bongo fleva, Rajabu Abduli Kahali maarufu kama Harmonize [...]
Majaliwa: Hakuna mpango kuigawa Tanesco
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali haina mpango wa kulivunja Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kwa sasa kwani suala hilo linagusa usalama [...]
Hospitali ya rufaa Muhimbili yaipa heshima Tanzania kimataifa
Maabara ya hospitali ya Taifa ya Muhimbili Mloganzila imeingia katika orodha ya maabara zinazotoa huduma bora duniani baada ya kupata ithibati ya ubor [...]
Waziri Nape aeleza maagizo ya Rais Samia kwa Wanahabari
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amewaeleza wahariri wa vyombo vya habari muelekeo wa serikali ya awamu ya sita inay [...]

Tanzania itakavyonufaika na ziara ya Rais Samia nchini Ufaransa
Mkurugenzi wa Mawasiliano-Ikulu, Bi. Zuhura Yunus alitoa taarifa siku ya jana Februari 9,2022 ikisema Rais Samia akiwa nchini Ufaransa atashuhudia uti [...]
Nuh Mziwanda afunguka haya juu ya Shilole
Mwanamuziki wa bongofleva Nuh Mziwanda, amefunguka na kueleza kuwa bado ana mpenda msanii na mfanyabiashara Zuwena maarufuku kama Shilole na kusema ku [...]
MunaLove ajuta
Msanii wa filamu za bongo na mjasiriamali Rose Alphonce maarufu kama Muna Love, amekiri kuwa mdhambi na kumsoea Mwenyezi Mungu kwa matendo yake baada [...]
Dar kinara visa vipya vya corona
Mganga mkuu wa Serikali, Dk. Aifello Sichalwe ametoa taarifa kuhusu maambukizi ya virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa UVIKO-19 na kusema kw [...]
Keisha alilia mrabaha wake bungeni
Msanii na Mbunge wa Viti Maalumu Khadija Taya maarufu kama Keisha, amefunguka bungeni na kuanza kudai mirabaha na kusema na yeye anastahili kupewa kwa [...]