Tag: juma jux

1 18 19 20 21 22 57 200 / 564 POSTS
Magari haya yanatumia kiwango kidogo cha mafuta

Magari haya yanatumia kiwango kidogo cha mafuta

Bei za mafuta zimeendelea kupaa katika soko la dunia na Tanzania, jambo lililosababisha gharama za maisha kuongezeka kwa kasi. Hii imewafanya baadhi [...]
P square jela maisha kwa kumbaka mtoto Coco Beach

P square jela maisha kwa kumbaka mtoto Coco Beach

Mahakama ya Wilaya Kinondoni jijini Dar es Salaam, imemhukumu Dunia Suleman (36) maarufu kama P square, kutumikia kifungo cha maisha jela, baada ya ku [...]
Chama cha Wagumba cha paza sauti

Chama cha Wagumba cha paza sauti

Chama cha Wagumba Tanzania (CCWTZ) kimeahidi kusimamia haki za wagumba nchini ili waweze kuondokana na vitendo vya ukatili wanavyokumbana navyo ndani [...]
TAHADHARI: Mlipuko wa Kipindupindu

TAHADHARI: Mlipuko wa Kipindupindu

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametahadharisha kuwapo mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu katika baadhi ya mikoa na kuwataka Watanzania kuzingatia usafi [...]
Namba za kupiga kuhesabiwa sensa

Namba za kupiga kuhesabiwa sensa

Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi 2022,Mheshimiwa Anne Makinda amesema asilimia 93.45 ya kaya zote Tanzania zilikuwa zimehesabiwa hadi kufikia asubuh [...]
Msako mifuko ya plastiki kuanza leo

Msako mifuko ya plastiki kuanza leo

Msako wa kukamata mifuko ya plastiki katika masoko jiji la Dar es Salaam unaanza leo. Wiki iliyopita Mkuu wa Mkoa huo, Amos Makalla alitoa agizo hilo [...]
Kosa la jinai kupiga picha na karani wa sensa

Kosa la jinai kupiga picha na karani wa sensa

Serikali imeonya makarani wa sensa ya watu na makazi waache kupiga picha na wananchi wanapoifanya kazi hiyo. Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dk Albina C [...]
Nani alipe kodi ya pango?

Nani alipe kodi ya pango?

 Kutokana na mjadala mpana unaondelea  kuhusiana na kodi ya pango ya asilimia 10 inayopaswa kulipwa na wapangaji wa nyumba binafsi, Mamlaka ya Mapato [...]
UTAFITI TWAWEZA : Fursa nyingi za ajira zinapatikana vijijini

UTAFITI TWAWEZA : Fursa nyingi za ajira zinapatikana vijijini

Taasisi isiyo ya kiserikali ya TWAWEZA imesema utafiti uliofanyika hivi karibuni kwa njia ya simu ambapo jopo la wahojiwa 3,000 waliopigiwa simu umeon [...]
Mambo yakufanya kama hautahesabiwa

Mambo yakufanya kama hautahesabiwa

Kama wewe ni miongoni mwa watu ambao hawajahesabiwa na unafikiri unaweza usipate fursa hiyo katika muda uliopangwa wa siku saba, ondoa shaka maana kil [...]
1 18 19 20 21 22 57 200 / 564 POSTS
error: Content is protected !!