Tag: juma jux

1 34 35 36 37 38 57 360 / 564 POSTS
Harmonize anaendelea alipoishia

Harmonize anaendelea alipoishia

Harmonize bado anaendelea na safari yake ya kuomba msahama kwa aliyewahi kuwa mpenzi wake, Kajala Masanja kwa kumnunulia magari mawili aina ya Range R [...]
Aruhusu wanaodaiwa ada kufanya mitihani

Aruhusu wanaodaiwa ada kufanya mitihani

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Tulia Ackson ameielekeza Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kutoa tamko la wanafunzi wa vyuo [...]
Mnyika: Wanataka ubunge kwa msilahi pekee

Mnyika: Wanataka ubunge kwa msilahi pekee

Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amefunguka na kusema kwamba baada ya Kamati Kuu kutoa uamuzi wao dhidi ya wana [...]
Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha 5

Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha 5

Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Baraza la Mitihani la T [...]
Bongo Spider Man: Bora niache

Bongo Spider Man: Bora niache

Mchekeshaji Jackie maarufu kama Bongo Spider Man, amefunguka na kusema anaacha ubunifu wake wa kuchekesha kama spider man baada ya kuzuka kwa taarifa [...]
Tathmini ya ziara za Rais Samia Suluhu

Tathmini ya ziara za Rais Samia Suluhu

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Zuhura Yunus, ametoa na kueleza dondoo za tathmini ya ziara za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. [...]
Bara la Ulaya na uhaba wa mafuta

Bara la Ulaya na uhaba wa mafuta

Wakati Bara la Ulaya likikumbwa na uhaba wa mafuta ya mawese, nchi ya Malaysia inajipanga kurejesha soko hilo baada ya wanunuzi kukwepa kununua bidhaa [...]
Wanakunywa shahawa ili kuwa wanaume kamili

Wanakunywa shahawa ili kuwa wanaume kamili

Kutana na kabila la Sambia linalopatitaka Papua New Guniea ambalo wavulana wadogo wenye miaka kuanzia 6 mpaka 10 hunyweshwa shahawa ili kuwa wanaume k [...]
Warithi wa kina Mdee

Warithi wa kina Mdee

Leo jijini Dar es Salaam, Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) linaketi kwa ajili ya kujadili masuala mbalimbali yahusuyo chama h [...]
Zingatia haya kabla ya kunyoa

Zingatia haya kabla ya kunyoa

Kwa kuwa nywele za sehemu ya siri ni nyembamba na nene na ngozi karibu na eneo hilo ni nyeti, ni lazima kuwa waangalifu zaidi kwa njia unayochagua. [...]
1 34 35 36 37 38 57 360 / 564 POSTS
error: Content is protected !!