Tag: nafasi za kazi
LATRA wapinga nauli mpya
Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini (Latra CCC) limekata mapendekezo ya nauli yaliyotolewa na wadau wa usafiri wa masafa maref [...]
Harmonize: Historia imeandikwa
Mmiliki wa lebo ya Konde Gang, Rajabu Abdul maarufu kama Harmonize amewajibu wale watu wanaohoji amewezaje kufikisha watazamaji milioni ndani ya dakik [...]
Nukuu za Mwl. Nyerere zinazoishi
Aprili 13 kila mwaka ni siku ambayo watanzania wanaadhimisha kuzaliwa kwa Hayati baba wa taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kiongozi aliyefaniki [...]
Makamba ataja sababu za mfumuko wa bei za mafuta
Waziri wa Nishati, January Makamba ameeleza kiundani sababu za upandaji wa bei za mafuta baada ya kuwa na sintofahamu kutoka kwa wananchi waliokuwa wa [...]
Ukiandika barua hivi, kazi nje nje
Kati ya vitu vinavyosababisha wengi kukosa kazi ni barua mbaya ya utangulizi na wengine huandika hadi waraka wa Petro kwa mwajiri wakidhani kuwa ndio [...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube leo Aprili 12,2022
Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania leo Aprili 12,2022. Husikubali kupitwa
https://www.youtube.com/watch?v=IokCG2 [...]
Mhagama atangaza ajira mpya zaidi ya 32,000
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama,ametangaza ajira mpya zaidi ya 32,000 katika sek [...]
Van Damme balozi wa DRC
Mwigizaji nyota wa zamani raia wa Ureno, Jean-Claude Van Damme (61) amepewa heshima ya kuitangaza Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo(DRC) na kuahidi kuw [...]
Rais Samia aikumbuka kata ya Kitandililo
Wananchi wa Kata ya Kitandililo, Wilaya ya Makambako Mjini, Mkoani Njombe wamemshukuru Rais Samia Suluhu kwa kuwajengea kituo cha Afya katika kata hiy [...]
DJ Khaled atunukiwa nyota ya heshima
Jana Aprili 11,2022 DJ Khaled ametunukiwa nyota ya heshima kwenye Hollywood Walk of Fame akiwa ni mtu wa 2,719 kukabidhiwa tangu kuanza kwa Walk Of F [...]