Tag: trending videos
Vijana wanavyoinuliwa na Rais Samia kupitia vyuo vya ujuzi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya Awamu ya Sita imejizatiti katika kutoa elimu ujuzi na hivyo itaen [...]
Kizz Daniel: Kweli begi langu moja lilisahaulika Nairobi
Msanii wa nchini Nigeria, Daniel Anidugbe maarufu Kizz Daniel amewaomba radhi Watanzania kwa kushindwa kufanya onyesho lake mkoani Dar es Salaam.
[...]
Picha za Muonekano wa Barabara ya Njombe- Makete KM 107.4
Muonekano wa Barabara ya Njombe-Makete km 107.4 ambayo imefunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika h [...]
Kamanda Muliro azungumzia sakata la Kizz Daniel
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro ameeleza hatua za Jeshi la Polisi kuhusu sakata la Msanii kutoka nchi Nigeria, Kizz Da [...]
AYO TV washushiwa rungu na TCRA
Televisheni ya mtandaoni ya Millard Ayo (AYO TV) inatakiwa kuomba radhi siku tatu mfululizo baada ya kuchapisha maudhui yanayoonyesha miili ya watoto [...]
Matukio aliyowahi kufanya Kizz Daniel
Juni 2022: Alizua hasira nchini Zambia, nusura show yake izuiwe kufuatia dharau kwa waandishi wa habari na kumsukuma shabiki yake mmoja aliyejaribu ku [...]
Kaoneka: aliyepigwa anakuwa tajiri, mimi najisikiaje?
Mwanamasumbwi Shabani Kaoneka amesikitishwa na kitendo cha Karim Mandonga kupewa nafasi kubwa kwenye vyombo vya habari na kupata madili ya matangazo m [...]
Bei ya mbolea yashuka baada ya ruzuku ya Serikali
Huenda maadhimisho ya Nane Nane ya mwaka huu yatawapatia wakulima matumaini mapya katika msimu mpya wa kilimo baada ya Serikali kuzindua mpango wa ruz [...]
Chuo cha VETA kujengwa Rungwe
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda ameutaka uongozi wa Wilaya ya Rungwe kutafuta eneo la zaidi ya Hekari 20 kwa ajili ya kuan [...]
Alilipwa hela kamili
Mapromota wa tamasha alilopaswa kutumbuiza msanii Kizz Daniel, Big Step Consultancy wamesema walimlipa mwanamuziki huyo hela kamili licha ya kugoma ku [...]