Author: Cynthia Chacha
Magazeti ya leo Julai 26,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Julai 26,2022.
[...]
Nafasi za kazi TOA
Katibu Mkuu wa TOA anatangaza nafasi ya kazi ya Afisa Miradi, atakayefanya kazi na Taasisi ya TOA ya mkoani Dodoma.
[...]
Mbuzi na Kondoo wapatwa na kizunguzungu
Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) kimetoa taarifa ya matokeo ya Utafiti wa ugonjwa wa kizunguzungu kwa mbuzi na kondoo.
Utafiti huo uliofadhi [...]
Serikali: Hakuna kushusha viwango vya posho
Serikali imeonya Wamiliki wa Vyombo vya Usafirishaji nchini wanaopanga kushusha viwango vya posho kwa madereva baada ya kukubaliana na serikali kuhusu [...]
TANZIA: Kiroboto afariki dunia
Mpiga matarumbeta maarufu King Kiroboto OG amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kudondoka akiwa kwenye shoo katika Hoteli ya Giraffe, Temeke [...]
Bashungwa ashtukia upigaji wa fedha Kilosa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, (TAMISEMI) Innocent Bashungwa ameagiza uchunguzi wa haraka wa madai ya ubadhilifu w [...]
Utakayoulizwa na karani wa sensa
Mbali na kutaja idadi ya wanakaya, karani wa sensa atauliza kama una/ ana matatizo ya kukumbuka au kufanya kitu kwa umakini. Swali hili linataka kujua [...]
23.3% kufafanuliwa kesho
Serikali imesema Jumanne Julai 26, 2022 itakutana na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) ili kuwasikiliza na kutoa ufafanuzi kuhus [...]
Magazeti ya leo Julai 25,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Julai 25,2022.
[...]
Ujumbe wa Rais Samia kwa bodaboda
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan amewataka waendesha bodaboda na bajaji nchini kuacha kutumika katika Vitendo vya wizi [...]