Author: Cynthia Chacha
Maswali utakayoulizwa siku ya Sensa
Ifuatayo ni orodha ya maswali 100 ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022.
[...]
Sensa kutoa majibu vifo vya wajawazito
Waziri wa afya Ummy Mwalimu amesema kuwa sensa ya mwaka huu inakwenda kutoa majibu ya ukubwa wa tatizo la vifo vya wajawazito na watoto wa changa.
[...]
Odinga awasilisha pingamizi kieletroniki
Timu ya wanasheria wa mgombea urais wa Azimio Raila Odinga tayari imewasilisha nakala ya kielektroniki ya ombi la kupinga ushindi wa Rais Mteule Willi [...]
Mtoto wa Simbachawene asota mahabusu
Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime, amesema bado wanamshikilia mtoto wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, George Simb [...]
Magazeti ya leo Agosti 22,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Agosti 22,2022.
[...]
Mrema afariki dunia
Mwenyekiti wa Chama cha TLP, Agustino Lyatonga Mrema (77) amefariki dunia leo Jumapili, Agosti 21,2022 saa 12:15 asubuhi, katika Hospitali ya Taifa ya [...]
TRC yaomba nauli iongezeke kwa 15%
Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini (LATRA-CCC), limesema limepokea maombi ya ongezeko la nauli za treni kwa asilimia 15 kwa k [...]
Shabiki wa Yanga SC afariki
Uongozi wa Klabu ya Yanga na Kamati ya Utendaji chini ya Rais Eng.Hersi Said umesema umepokea kwa masikitiko taarifa ya ajali ya Mashabiki wa Yanga wa [...]
Magazeti ya leo Agosti 20,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Agosti 20,2022.
[...]
Khaby wa Tiktok apewa rasmi uraia wa Italia
Mchekeshaji Khaby Lame, anayeongoza kwa kufuatiliwa zaidi kwenye mtandao wa TikTok duniani, amepewa uraia wa Italia katika hafla iliyofanyika katika m [...]