Author: Cynthia Chacha
Aagiza shule zifunge CCTV
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka amezielekeza shule zote za sekondari ndani ya Jiji la Dodoma kufunga kamera za usalama (CCTV) kusaidia kubaini w [...]
Waliohamia Msomera waendelea kuwezeshwa
Wananchi wa kaya 104 waliohamia Kijiji cha Msomera wilayani Handeni wakitokea Hifadhi ya Ngorongoro wamepatiwa vyandarua vitatu kwa kila nyumba sambam [...]
Sababu ya Rais wa Sri Lanka kujiuzulu
Rais wa Sri Lanka, Gotabaya Rajapaksa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Ranil Wickremesinghe wamekubali kujiuzulu baada ya waandamanaji kuvamia makazi yao [...]
Magazeti ya leo Julai 11,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Julai 11,2022.
[...]
Rais ajiuzulu
Spika wa Bunge la Sri Lanka Mahinda Yapa Abeywardena ametangaza jana kuwa Rais wa nchi hiyo Gotabaya Rajapaksa amekubali kujiuzulu wadhifa wake July 1 [...]
Rais Samia aguswa kifo cha Bi. Hindu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameguswa na kifo cha muigizaji nguli nchi na mtangazaji Chuma Selemani maarufu kama [...]
Rais Samia afanya uteuzi
Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Habibu Juma Saidi Suluo kuwa Mkurungenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA).
Bwana Suluo [...]
Waziri wa Habari Sri Lanka ajiuzulu
Waziri wa Uchukuzi, Barabara na Vyombo vya Habari nchini Sri Lanka, Bandula Gunawardana ametangaz akujiuzulu katika nafasi hiyo ya uwaziri.
Bandula [...]
Harmonize amkimbiza Burna Boy
Katika albumu ya Burna Boy iliyotoka rasmi jana Julai 8,2022, hapo hapo aliachia Video ya kwanza kutoka katika Album hiyo. Video ya FOR MY HAND, Wimbo [...]