Author: Cynthia Chacha
Dereva alifariki kabla basi kupinduka
Kamanda wa Polisi mkoani Shinyanga, George Kyando amesema dereva wa basi la Kampuni ya Zuberi, Hamza Haule, alifariki kabla ya basi hilo halijaanguka [...]
Magazeti ya leo Juni 17,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Juni 17,2022.
[...]
Maeneo 10 ya kihistoria ya kutembelea Afrika
Bara la Afrika ni sehemu pekee iliyobarikiwa kuwa na vivutio vingi vizuri vya kihistoria. Yafuatayo ni baadhi ya vivutio hivyo na maeneo yanapopatikan [...]
Benki zinazoongoza kwa mikopo ya nyumba Tanzania
Iwapo una ndoto ya kumiliki nyumba lakini hauna fedha, huenda ukapata mikopo ya kujengea nyumba kutoka benki za biashara Tanzania licha ya kuwa katik [...]
Amuua mkewe kwa kumlima na jembe kichwani
Mtu mmoja anayefahamika kwa jina la God Sawe anatafutwa kwa kosa la kumuua mke wake Ester juzi saa 12.30 jioni kwa kumlima na jembe kichwa kisha kukim [...]
Wamasai wamshukuru Rais Samia
Wakazi wanaoishi katika Hifadhi ya Ngorongoro ambao wameamu kuhama kwa hiari eneo hilo na kwenda kuishi Msomera Wilaya ya Handeni mkoani Tanga, wamems [...]
Magazeti ya leo Juni 16,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Juni 16,2022.
[...]
Alikiba aahidi kumtoboa Harmonize
Alikiba amemtambia Mbwana Samatta kwa kumtaka ampange msanii Harmonize kwenye timu yake ili ampite akafunge kwenye mchezo wa Team Kiba na Team Samatta [...]
Mkuu wa mkoa feki adakwa
Jeshi la polisi mkoani Mbeya linamshikilia Wallen Mwinuka Mkazi wa Makondeko Jijini Mbeya mwenye umri wa miaka 20 kwa tuhuma za kujifanya Mkuu wa Mkoa [...]
Juhudi za Rais Samia kufanikisha mradi wa gesi asilia nchini
Na George Bura, Dar es Salaam
Juni 11, 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, alishuhudia utiaji saini wa makubali [...]