Author: Cynthia Chacha
Barua ya wazi ya Rais Samia Suluhu
Tanzania inatimiza miaka 30 tangu turejee rasmi katika siasa za mfumo wa vyama vingi katika kipindi hicho, Taifa letu limepitia kipindi cha furaha, ma [...]
Watalii 320 watua Zanzibar
Miaka miwili baada ya watalii kutoka nchini Italia kusitisha safari zao kwenda Zanzibar kutokana na janga la Uviko-19, safari hizo zimerejea baada ya [...]
Magazeti ya leo Julai 1,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Julai 1,2022.
[...]
Mabeyo akabidhiwa Ngorongoro
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemteua Mkuu wa Majeshi wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Mst Jen. Venance Salvatory Ma [...]
Tahadhari upepo mkali usiku wa leo
Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo kuanzia saa 3.00 usiku wa leo: Tarehe 30/06/2022
[...]
Serikali inavyowathamini wanaohamia Msomera
Katika kuhakikisha wakazi wanaohama kutoka Ngorongoro wanakuwa na maisha bora zaidi katika makazi mapya Msomera, Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jam [...]
Rais Samia kumteua tena Mabeyo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameweka wazi kwamba CDF mstaafu Jenerali Venance Mabeyo, anataria kupangiwa kazi nyi [...]
Maombi kwa mapacha
Hospitali ya Taifa Muhimbili inatarajia kufanya upasuaji mkubwa wa kutenganisha watoto pacha waliozaliwa wameungana sehemu ya kifua, tumbo na ini (lak [...]
Bweni la Bwiru Boys lateketea
Zaidi ya wanafunzi 70 katika shule ya wavulana ya Bwiru sekondari iliyopo manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza wamenusurika kifo baada ya bweni kuteketea [...]
Umaarufu wampeleka R Kelly jela miaka 30
Mwimbaji wa Marekani, Robert Kelly maarufu R Kelly amehukumiwa jana JUni 29,2022 kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kutumia hadhi yake ya kuwa nyot [...]