Author: Cynthia Chacha
Rais Samia anguruma Marekani
Rais Samia Suluhu aliondoka nchini kuelekea Marekani Aprili 13, 2022, kwa ziara ya kiserikali ya wiki 3. Leo, Aprili 15, 2022, Rais Samia na mwenyeji [...]
Njia bora 4 za kufanya meno yang’ae
Kila mtu anapenda kuwa na meno masafi meupe yanayong'aa ili pindi akicheka, akitabasamu au hata kuongea basi yaonekane vizuri, lakini wengi wameshindw [...]
Absa bank yatangaza ajira
Position: HEAD OF AFFLUENT SEGMENTS
Location: Absa House - ABTBring your possibility to life! Define your career with us
With over 100 years of rich [...]
Riri na ASAP: Mtasubiri, bado sana
Mtu wa karibu wa Rihanna ametoa taarifa kwamba Riri pamoja na rapa ASAP Rocky hawajaachana kama inavyodaiwa, chanzo hiko kinadai kwamba wawili wapo vi [...]
TBS walitaka gari la Kipanya
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limemtaka Masoud Kipanya kufika katika Ofisi za TBS na gari la kutumia umeme alilolibuni hivi karibuni ili liweze ku [...]
Maunda Zorro kuzikwa kesho
Mwili wa Msanii Maunda Zorro unatarajiwa kuagwa na kuzikwa siku ya Jumamosi Aprili 16 eneo la Toangoma, Kigamboni.
Hayo yamesemwa jana Alhamisi Apri [...]
TAMISEMI yafafanua pikipiki za Milioni 11
TAMISEMI imetoa ufafanuzi kuhusu alichokiwasilisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais -TAMISEMI, Innocent Bashungwa katika wasilisho la Makadirio ya Mapato [...]
NZEGA: Wanachama 53 wa Chadema wahamia CCM
Wanachama 53 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Nzega wametangaza kukihama chama hicho na kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM) waki [...]
Ahadi ya Samia kwa Wamachinga yatimia
Neema imeanza kufunguka kwa wafanyabiashara wadogo(MACHINGA) baada ya kusaini mkataba wa shilingi bilioni 200 zilizotengwa na benki ya NMB kwa ajili y [...]