Author: Cynthia Chacha
Miriam Odemba aziwaza tuzo za BASATA
Mwanamitindo maarufu nchini, Miriam Odemba amejiunga rasmi na tasnia ya muziki ambapo katika siku ya kusherekea kumbukizi yake ya kuzaliwa akitimiza m [...]
Urusi na Tanzania mambo safi
Urusi yaridhia kusaidia kuondoa wanafunzi wa Kitanzania waliokuwa wamekwama katika mji wa Sumy Nchini Ukraine kuondoka nchini humo kupitia mpaka wa Uk [...]
Aharibikiwa kisaikolojia baada ya kutoka Ukraine
Hairat Muhina ni kati wa wanafunzi aliyefanikiwa kurudi Tanzania akitokea Ukraine alipokuwa akisoma mwaka wa pili katika Chuo Kikuu cha Taifa cha Tiba [...]
Kwa wanaume: fanya haya kuzuia kondomu isipasuke
Kwa mwanaume yoyote yule inabidi uwe makini pindi uvaapo kondomu wakati wa tendo la ndoa kwani inaweza kupasuka au kutoka na kubaki kwa mwanamke endap [...]
CHADEMA wamkubali Spika Tulia
Sophia Mwakagenda ambaye ni Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mbeya kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amesema kwamba wabunge wanaotokan [...]
Viongozi wa dini wateta haya na Rais Samia kuhusu kesi ya Mbowe
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amezungumza na viongozi wa dini mbalimbali kuhusu maendeleo ya nchi katika kik [...]
Njia 4 za kulishinda jua la Dar
Nchini Tanzania katika jiji kubwa la biashara linalofahamika kama Dar es Salaam ni maarufu kwa kuwa na jua kali linalochoma sana huku wengine wakitani [...]
Serikali yakutana na kamati ya wazazi wa watoto wanaosoma UKraine
Waziri wa Mambo ya Nje, Mhe.Liberata Mulamula amekutana na kufanya mazungumzo na kamati ya wazazi wa wanafunzi wanaosoma nchini Ukraine ambapo amewati [...]
Hamisa Mobetto na BlacChyna ndani ya mchongo mmoja
Mjasiriamali kutoka nchini Tanzania , Hamisa Mobetto ameweka wazi kwamba kuanzia sasa yeye ni balozi wa bidhaa za vipodozi vya whitenicious kutoka kam [...]
Tanzania kutangazwa bure Burj Khalifa mwezi mzima
Baada ya kuwa na sitofahamu kuhusu bendera ya Tanzania pamoja na picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kuonekana [...]