Author: Cynthia Chacha
Diamond amuwaza Kiba
Hatimaye msanii Diamond ameachia EP yake usiku wa jana ikiwa na takribani nyimbo 10 alizoshirikisha wasanii mbalimbali wa ndani na nje ya nchi kama Mb [...]
GSM amkalia kooni Makonda
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda anadaiwa kutaka kupora nyumba ya mfanyabiashara Gharib Said Mohamed wa kampuni ya GSM.
Nyumba [...]
Bajaji Mbeya: Asante Rais Samia
Vijana waendesha bajaji kutoka Halmashauri ya Mbeya kata ya Mbalizi wametoa pongezi na shukurani kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Sa [...]
Ngorongoro: Tembo aua mmoja
Mtu mmoja aliyefahamika kwa majina ya Narudwasha Titika (45), mkazi wa kijiji cha Alaitore kilichopo ndani ya Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro amefari [...]
NECTA kuja na mfumo mpya wa usahihishaji
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema mfumo mpya wa usahihishaji mitihani utaokoa shilingi milioni 550 zinazotengwa kwa [...]
Muhimbili: Hatuhusiki
Hospitali ya Taifa Muhimbili imetoa taarifa ya kukataa kuhusika na usambazaji wa video inayomuonyesha Mwanamuziki Profesa Jay akiwa katika chumba cha [...]
Aliyepandikizwa moyo wa nguruwe afariki
David Bennett binadamu wa kwanza kufanyiwa upasuaji wa upandikizwaji wa moyo wa nguruwe amefariki dunia Machi 8 mwaka huu, David amefariki akiwa na um [...]
Konyagi yaja na chupa ya mwanamke
Katika kusherekea Siku ya Wanawake Duniani, Kampuni ya Tanznaia Distilleries Limited, kupitia kinywaji chake cha Konyagi imezindua chpa maalumu ikilen [...]
Tahadhari homa ya manjano
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Watanzania wanapaswa kuchukua tahadhari ya mlipuko wa ugonjwa wa homa ya manjao uliopo nchini Kenya na kuahidi ku [...]
Mambo 4 ya kufanya baada ya tendo la ndoa
Unafahamu kwamba kuna mambo unatakiwa kufanya mara baada ya kumaliza kushiriki tendo la ndoa? Ni muhimu kufanya hivyo hili kukuwezesha kubaki na afya [...]