Author: Cynthia Chacha

1 211 212 213 214 215 270 2130 / 2691 POSTS
Putin atuma ujumbe kwa Rais Samia

Putin atuma ujumbe kwa Rais Samia

Rais wa Russia,Vladimir Putin amemtumia Rais Samia Suluhu, ujumbe wa kumtakia heri ya Sikuu ya Muungano. Putin amesema Tanzania na Russia zina mahusia [...]
Rais Samia aachia huru wafungwa 3826

Rais Samia aachia huru wafungwa 3826

Katika kuadhimisha Miaka 58 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Rais Samia Suluhu Hassan amewasamehe wafungwa wapatao 3,826 kwa masharti mbalimbali [...]
TAMISEMI yafafanua maombi ya ajira

TAMISEMI yafafanua maombi ya ajira

Baada ya kuwa na malalamiko juu ya mfumo wa uombaji ajira kada ya elimu na afya, Ofisi ya Rais- TAMISEMI imesema kwa sasa mfumo wa ajira unafanya kazi [...]
Umoja Party wamlilia Rais Samia

Umoja Party wamlilia Rais Samia

Uongozi wa Chama cha Umoja Party umemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, kuingilia kati kuhakikisha wanapata haki yao ya usajili katika Ofisi za Msajili w [...]
CCM kuimarisha muungano

CCM kuimarisha muungano

Ikiwa leo Aprili 26, 2022 siku ya kuadhimisha Muungano katika ya Tanganyika na Zanzibar, Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema kwamba hakitaacha kuendele [...]
Magazeti ya leo Aprili 26,2022

Magazeti ya leo Aprili 26,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Aprili 26,2022. [...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Aprili 25,2022

Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Aprili 25,2022

Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania leo Jumatatu Aprili 25,2022. Husikubali kupitwa https://www.youtube.com/watch [...]
Spider Man wa Nigeria amkubali wa Tanzania

Spider Man wa Nigeria amkubali wa Tanzania

Ni siku chache tangu aanze kuonekana kwenye mitaa ya jiji la Dar es Salaam na kwenye mitandao ya kijamii mchekeshaji kutoka Tanzania, Jackie maarufu k [...]
Air Tanzania: Ndege zipo salama

Air Tanzania: Ndege zipo salama

Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imetoa ufafanuzi kuhusiana na habari iliyosambaa mitandaoni kuhusu hali ya matairi ya ndege zake ambayo inadaiwa kuwa [...]
Youtube ya Diamond Platnumz yafutwa

Youtube ya Diamond Platnumz yafutwa

Ikiwa ni siku mbili tangu kudukuliwa kwa akaunti ya Youtube ya msanii Diamond Platnmuz, leo Jumatatu Aprili 25,2022 akaunti hiyo imefutwa katika mtand [...]
1 211 212 213 214 215 270 2130 / 2691 POSTS
error: Content is protected !!