Author: Cynthia Chacha
Usipake vitu hivi usoni
Kwenye karne hii ambayo teknolojia imekua na watumiaji pia wamekua wengi, watu hupenda kujifunza vitu mbalimbali kupitia mitandao hasa Youtube ambapo [...]
Msichana: Epuka haya ukiwa mwezini
Ni kawaida kwa msichana kupata hedhi kila mwezi ambapo huambatana na mabadiliko mbalimbali ya mwili na wengi kupata maumivu makali.
Hivyo basi kuna [...]
Mambo 5 yakuzingatia kabla hujachagua kava la simu
Unaponunua kava la simu unatakiwa kuzingatia zaidi usalama wa simu ambayo unalenga kuilinda ili isichubuke, isipasuke au isiingie vumbi.
[...]
Uchunguzi na matibabu ya TB ni bure
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema serikali imefuta gharama za uchunguzi kwa wagonjwa wote wenye dalili za kifua kikuu waweze kupata huduma hiyo kwa [...]
Njia 6 za kumpata mwanamke tajiri
Wanaume wengi wamekuwa waoga kumtongoza msichana ambaye amemzidi kipato au wengi huwaita wakishua na hii inawasababishia kushindwa kuwa na mtu sahihi [...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Machi 24,2022
Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania leo Machi 24, 2022. Husikubali kupitwa.
https://www.youtube.com/watch?v=njxSV [...]
AliKiba avunja ukimya
Msanii na mmiliki wa lebo ya Kings Music. Ali Kiba kwa mara ya kwanza leo Machi 24,2022 ameamua kum-follow mtu mmoja kwenye ukurasa wake wa Instagram [...]
Daraja la Tanzanite kubadilishwa
Rais Samia Suluhu Hassan amezindua daraja la jipya la Selander maarufu kama Tanzanite la jijini Dar es Salaam huku akipendekeza alama ya mwenge iliyow [...]
Mafinga wafurahia madarasa ya Samia
Shule ya Sekondari Ihanga jijini Mbeya ni kati za shule zilipewa fedha na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan na kujengwa kwa mfumo wa ghorofa kutokana na e [...]
Mbeya Cement Company yatangaza ajira
FINANCE INTERN
We are looking for a committed and vibrant fresh graduate to join our Finance team
Qualification
Education:
Bachelor’s De [...]

