Author: Cynthia Chacha
Nondo 5 za Kamala kwa Tanzania
Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris amesema nchi yake itaendelea kufanya kazi pamoja na Tanzania ili kuimarisha uchumi wa nchi na pamoja kuimari [...]
Fahamu madudu matano ya CAG yaliyomkwaza Rais Samia
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema mageuzi ya kimfumo pamoja na usimamizi thabiti wa sheria ndio vitu vitakavyosaidia kupambana na ubadhiri [...]
Magazeti ya leo Machi 29,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Machi 29,2023.
[...]
Maana ya ujio wa Kamala nchini
Kwa mara ya kwanza, Kamala Harris, Makamu wa Rais wa Marekani atakanyaga ardhi ya Tanzania kesho Machi 29.
Safari yake ina umuhimu mkubwa kwa Tanza [...]
Magazeti ya leo Machi 28,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Machi 28,2023.
[...]
Vyombo vya habari 1,123 nchini vimesajiliwa
Kwa Mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye leo katika kikao kazi cha Maafisa Habari, Mawa [...]
Mdee: Watendaji wanaokiuka sheria wachukuliwe hatua
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imeitaka Ofisi ya Rais –TAMISEMI kufanya uchunguzi na kuchukua hatua kwa watendaji wat [...]
Waziri Ummy: Hakuna wagonjwa wapya wa Marburg
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema hadi kufikia jana tarehe 25 Machi, 2023 hakuna wagonjwa wapya wa Marburg walioripotiwa licha ya kupokea tetesi se [...]
Ruksa kumrekodi askari
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Safia Jongo ametoa ruksa kwa abiria kuwarekodi kwa simu askari wa usalama barabarani wanaochukua rushwa kwa madereva [...]
Rais Samia chanzo cha ongezeko la uwekezaji nchini
Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimetoa taarifa kuhusu mwenendo wa hali ya uwekezaji nchini katika kipindi cha miaka miwili ya uongozi wa Rais wa a [...]