Author: Elibariki Kyaro
Utapeli wa ardhi kwa kutumia mahakama waibuka Dar
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amewatahadharisha wananchi kuhusu utapeli mpya wa ardhi unaoendelea mkoani humo kwenye maeneo ya wazi au v [...]
Sababu ya Marekani kumzika Osama Bin Laden chini ya bahari.
Mei 2, 2011 kikosi maalumu cha Jeshi la Marekani kilimuua Osama Bin Laden, kinara nyuma ya mashambulizi ya tukio la Septemba 11 katika ardhi ya Mareka [...]
Kampuni 5 bora za Smartphone duniani
1. SamsungSamsung ni kampuni ya kielektroniki ya kimataifa yenye makao yake Korea Kusini ambayo pia ni kampuni kubwa zaidi ulimwenguni ya utengeneza [...]
Mbowe afikishwa makamani mbele ya jaji mpya
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu wamefikishwa katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi kwa ajili ya k [...]
Biashara United kibaruani leo nchini Djibouti
Timu ya Biashara United leo itashuka dimbani kuvaana na Dikhil FC ya Dijibouti, katika mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika, mchezo utakaochezwa [...]
Guinea yatolewa ECOWAS baada ya mapinduzi
Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imeitenga nchi ya Guinea baada ya mapinduzi ya kijeshi yaliyofanyika ndani ya taifa hilo.
[...]
Kocha wa Chelsea, Thomas Tuchel aeleza anapokosea Arteta
'Kila uwezo unapoongezeka, ndio majukumu huwa makubwa zaidi,' ndicho hasa kinachomsibu Arteta Arsenal. Ikumbumkwe kuwa Arteta ametoka kuwa mwalimu msa [...]
Uchumi wa Tanzania unaimarika
Viashiria vinavyoonesha uchumi wa Tanzania umezidi kuimarika
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imetangaza mwenendo wa viashiria vya kiuchumi vya muda [...]
Applications 7 muhimu kuwa nazo kwenye simu
1. Word Lens
Kazi hii ya application ni kutoa tafsiri ya maneno mbalimbali kwa kuyapiga picha. Ukifika katika eneo ambalo hujui lugha ya ha [...]
Yanga kuwakosa nyota wake watatu kwenye michuano ya kimataifa
Klabu ya Yanga imethibitisha kwamba itawakosa nyota wake watatu kwenye mchezo wake wa kwanza wa Klabu Bingwa dhidi ya Rivers United kutoka n [...]