Author: Elibariki Kyaro

1 4 5 6 7 8 18 60 / 171 POSTS
Unawezaje kutambua kuwa uhusiano ulionao ni hatari?

Unawezaje kutambua kuwa uhusiano ulionao ni hatari?

Kwenye maisha kuna muda unajikuta kwenye changamoto ambazo hujui utatokaje, changamoto za kuonewa, kuendeshwa na kunyanyaswa zimekuwa nyingi kuanzia k [...]
Bei mpya za mafuta mwezi Oktoba

Bei mpya za mafuta mwezi Oktoba

Serikali kupitia Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei mpya ya mafuta ya petroli kupanda kwa Sh.12 badala ya Sh.145 [...]
Leo katika historia: Kikao cha kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kinatangaza Oktoba 5 kuwa Siku ya Walimu Duniani

Leo katika historia: Kikao cha kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kinatangaza Oktoba 5 kuwa Siku ya Walimu Duniani

Mwaka 2012: Kampuni ya Anglo Platinum Limited ya Afrika Kusini, imewaachisha kazi wafanyakazi wake 12,000 baada ya kufanya mgomo kazini. Hii ndiyo kam [...]
Njia 3 za kuvutia wateja kwenye biashara yako

Njia 3 za kuvutia wateja kwenye biashara yako

Wafanyabiashara wengi wamekuwa wakilalamika kuhusu kupotea kwa wateja wao mara anunuapo bidhaa kwake, wengine ufikia mpaka kuhisi kama kuna imani za k [...]
Zingatia mambo matano mara zote upandapo Uber, Bolt

Zingatia mambo matano mara zote upandapo Uber, Bolt

Tatizo la usafiri kwa wakazi wa Dar es Salaam limekuwa kero kwa kipindi kirefu sana na hii ni kwa sababu ya foleni na ukosefu wa daladala hasa nyakati [...]
Soma hapa ufafanuzi wa TANESCO kukosekana huduma ya LUKU

Soma hapa ufafanuzi wa TANESCO kukosekana huduma ya LUKU

Hitilafu imetokea kwenye mfumo wa ununuzi wa umeme wa LUKU wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), hivyo kusababisha wateja kushindwa kupata huduma hi [...]
Mbinu 4 za kutumia upandishwe cheo kazini

Mbinu 4 za kutumia upandishwe cheo kazini

Unapokua mfanyakazi pamoja na kulipwa mshahara na stahiki zote lakini ni matarajio ya wengi kuona wanakua katika maeneo yao ya kazi. Hivyo ili uweze k [...]
Maagizo ya Serikali kwa mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania

Maagizo ya Serikali kwa mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza mabalozi wa Tanzania nje ya nchi waimarishe biashara na nchi wanapokwenda kwani wana jukumu la kukuza uchumi wa [...]
Video 10 za wanamuziki wa Tanzania zilizotazamwa zaidi YouTube mwaka huu

Video 10 za wanamuziki wa Tanzania zilizotazamwa zaidi YouTube mwaka huu

Ikiwa imetimia robo tatu ya mwaka 2021 kuelekea ukingoni mwa mwaka huu, wasanii wa BongoFleva kutoka nchini Tanzania wameonesha kukimbiza kwa video za [...]
Hizi ni nyimbo 5 ambazo hazipitwi na wakati nchini

Hizi ni nyimbo 5 ambazo hazipitwi na wakati nchini

Katika tasnia ya muziki hivi sasa wadau wengi wamekuwa wakitoa maoni yao kuhusu nyimbo zinazotungwa na wasanii wa kizazi kipya kuwa hazikai muda mrefu [...]
1 4 5 6 7 8 18 60 / 171 POSTS
error: Content is protected !!