Author: Thani Chikira
Utafiti: Sababu Afrika kuwa na vifo vichache vya UVIKO-19 licha ya kuchanja chini ya 6% bara zima
Sababu kama Afrika kutokuwa na majiji makubwa yaliyo bize, sababu za vinasaba (genetic) na historia ya kukumbwa na magonjwa makubwa mara kwa mara kama [...]
Kanisa lazua sintofahamu, lapiga marufuku wajazito kwenda kliniki
Kanisa moja la kigeni linalojulikana kama Akorino lililopo kata ya Nanjara, wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro. limewapiga marufuku waumini wake wajaw [...]
Breaking: Mwafrika wa kwanza atunukiwa ‘Uprofesa’ chuo kikuu Oxford baada ya miaka 925 ya chuo hicho
Patricia Kingori, ameweka rekodi ya kuwa mwanamke wa kwanza mwenye asili ya kiafrika (mweusi) kupata cheo cha kitaaluma cha uprofesa kutoka Chuo Kikuu [...]
Omicron yaingia Rwanda, 6 waambukizwa
Waziri ya Afya nchini Rwanda Daniel Ngamije imethibitisha kuwepo kwa watu 6 waliokutwa na Virusi vya corona aina ya Omicron jana na kusema kwamba kiru [...]
Utafiti: Wanaotumia plastiki hatarini kupata saratani na upungufu wa nguvu za kiume
Watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Sayansi za Afya na Tiba (CUHAs-Bugando) na Taasisi ya Taifa ya Tafiti za Magonjwa ya Binadamu [...]
Onyo latolewa wanaobeba abiria kwenye magari ya mizigo
Wakuu wa usalama barabarani na askari wa kikosi cha usalama barabarani nchini, wameagizwa kutomuonea muhali dereva yeyote wa gari ya mizigo atakayebeb [...]
Ed Sheeran kufanya remix ya ‘Peru’ na Fireboy DML
Nyota wa muziki kutoka Uingereza, mtunzi wa nyimbo na mwimbaji pamoja na mshindi wa Grammy, Ed Sheeran ameweka wazi nia yake ya kufanya kazi na nyota [...]
Kwanini Ulaya inanunua mamilioni ya simu mbovu kutoka Afrika?
Kwa sasa simu milioni 230 zinauzwa barani Afrika, na simu hizi huishia tu kutupwa sehemu zisizo stahili na kusababisha uchafuzi wa mazingira, Kwa muji [...]
Sababu 3 kwanini usilale na simu kitandani
Simu imerahisisha sana maisha ya mwanadamu kwenye nyanja za mawasiliano pamoja na upatikanaji wa taarifa. Hali hii imetufanya tuwe karibu na simu zetu [...]
37 waugua na kulazwa kwa kipindupindu Nkasi
Mganga Mkuu wa Wilaya ya Nkasi, Benjamin Chota ameotoa taarifa za kuwepo kwa ugonjwa wa kipindupindu kwani tayari watu 37 ameripotiwa kuugua na kulazw [...]