Category: Burudani
Adele kuachia albamu inayoelezea ndoa yake iliyovunjika
Staa wa muziki toka nchini Uingereza, Adele amesema anatarajia kutoa albamu ambayo itakua maalum kwa ajili ya mtoto wake wa miaka 9. Akizungumza na ja [...]
Video 10 za Tanzania zinazo-trend YouTube leo Oktoba 10, 2021
Hizi hapa nyimbo zinazotikisa katika mtandao wa Youtube na chati mbalimbali hapa Tanzania. Usikubali kupitwa na ngoma hizi mpya tazama kupitia hapa ; [...]
Youtube yafuta nyimbo 4 za Otile Brown
Jacob Odunga, maarufu kama Otilie Brown msanii kutoka Kenya amelalamika baada ya kufutwa kwa nyimbo zake 4 zenye watazamaji zaidi ya milioni 10 kwenye [...]
Alikiba afunguka kuhusu kuimba ‘Amapiano’
Mfalme wa Bongo fleva anayetamba na albamu ya ‘Only One King’ aliyoizindua hivi karibuni, Alikiba amesema kwamba sio lazima aimbe mtindo wa Amapiano k [...]
Anza Wikiendi yako na filamu hii ya ‘MIMI’
Katika filamu hii, mhusika (Mimi) anaigiza kama binti maskini mwenye ndoto za kuwa mwigizaji mkubwa lakini ndoto hizo zinakatishwa baada ya wanandoa w [...]
Video ya utupu ya Tiwa Savage yavuja, mwenyewe afunguka
Akiwa kwenye kipindi cha The Angie Martinez Show mwanamuziki nyota kutoka nchini Nigeria, Tiwa Savage ameweka wazi kuhusu video ya ngono inayomuonesha [...]
Uchambuzi mfupi wa album mpya ya Alikiba (Only One King)
Mfalme wa Bongo Fleva nchini, Ali Kiba ameachia rasmi albamu yake ya 3 iliyokuwa inasubiriwa kwa muda mrefu yenye nyimbo takribani 16 aliyoipa jina la [...]
Wafahamu wasanii ambao Diamond anashindana nao AFRIMA 2021
Orodha rasmi ya wasanii watakaoshiriki kwenye tuzo za All Africa Music Awards (AFRIMA) 2021 imewekwa wazi na kuonesha wasanii wote watakaochuana kweny [...]
Youtube yafunga akaunti zote za R. Kelly
Akanti za Youtube za msanii gwiji wa muziki wa miondoko ya RnB, R. Kelly zimefungwa mapema wiki hii, ikiwa ni tukio la kwanza kubwa kumfika tangu alip [...]
Video 5 za Tanzania zinazo-trend YouTube leo Oktoba 05, 2021
Hizi hapa nyimbo zinazotikisa katika mtandao wa Youtube na chati mbalimbali hapa Tanzania. Usikubali kupitwa na ngoma hizi mpya tazama kupitia hapa ;
[...]