Category: Elimu
Hizi ni njia saba zitakazokusaidia kutunza fedha zako vizuri
Watu wengi wamekuwa na matumizi mabaya ya fedha zao kiasi cha kushindwa kufikia malengo yao kwa wakati unaopaswa.
Zifuatazo ni njia zinazoweza kutumi [...]
Mjue mtu sahihi wa kuanzisha naye mahusiano
Kuna vitu ambavyo havionekani kwa macho. Inahitaji hisia za moyo na kuzama kwenye ulimwengu wa kufikirika ili kujihisi mnufaika. Mfano hisia ya kupend [...]
Mambo 8 usiyoyajua kuhusu Rais Yoweri Museveni
Jina lake “Museveni” limetokana na Batalioni ya saba ya jeshi la Uingereza (King’s African Rifles) ambapo ndio kikosi cha Baba yake wakati wa Vita [...]
Fahamu zawadi 5 zitakazofanya mtu akukumbuke
Zawadi ni kitu anachopewa mtu bila matarajio ya malipo kama sehemu ya kumpongeza, kumuunga mkono au kuthamini uhusiano wenu au kitu alichofanya, watu [...]
Mjue mchawi wako sehemu yako ya kazi
Unakumbuka wiki ya kwanza ulipoianza kazi unayoifanya? Unakumbuka ulipoipata kazi hiyo uliwaambia watu wangapi na namna ulivyokuwa na furaha? Ilikuwa [...]
Fahamu mambo 2 yanayojenga mahusiano imara
Mahusiano ni moja ya kitu muhimu sana kwenye mafanikio yetu. Hatuwezi kuwa na mafanikio makubwa bila kuwa na mahusiano mazuri na wengine. Mahusiano ya [...]
Mambo 5 muhimu ya kufanya asubuhi yatakayofanya siku yako kuwa bora
Siku yako kuwa nzuri au mbaya inategemea jinsi unavyoianza. Kuna mambo ambayo ukiyafanya asubuhi yanaweza kuifanya siku yako kuwa bora au kuwa mbaya. [...]
Mwanamke mwenye tabia hizi huolewa mapema
Kuolewa ni heshima kwa mwanamke, heshima hiyo inaenda mbali zaidi hadi kuwagusa wazazi wa binti ambaye ataolewa. Wazazi wanatembea kifua mbele pindi b [...]
Zijue rangi 7 za mikojo na maana zake
Haja ndogo/mkojo hutoka kwa rangi tofauti, na rangi hizi ni ishara juu ya maendeleo ya afya zetu. Mabadiliko ya rangi ya mkojo yanaweza kusababishwa n [...]
Mwanaume, fahamu aina 7 za wanawake ambao hutakiwi kuwa nao
Japo kila mtu anakasoro zake, lakini kuna tabia ndogo ndogo ambazo huleta uharibifu kwenye mahusiano. Tabia hizo huondoa amani na furaha na kuleta uch [...]