Category: Elimu
Jinsi ya kupata madini ya Almasi kutoka kwenye maiti
Barani Afrika na maeneo mengine duniani utamaduni wa kuzika mtu anapofariki ni utamaduni wa miaka mingi na ndio utamaduni watu waliuzoea. Lakini kasi [...]
Mambo 5 ya kuepuka kufanya kwa ajili ya Mwanamke
Kwa kuzingatia historia, mila, tamaduni na desturi, imezoeleka kuwa mara nyingi ni wajibu wa Mwanaume kuonesha upendo kwa mpenzi wake na kujitoa kwa h [...]
Madhara ya kutumia simu bila kunawa mikono
Mfamasia Erick Venant amesema simu za mkononi zimetajwa kuwa ni hatari katika kusambaza na kuhifadhi vijidudu vya magonjwa ya kuambukiza kama zitashik [...]
Je? ‘Love Bite’ inaweza kukuua?
Julio Macias Gonzalez, umri miaka 17, alifariki Dunia kwa kiharusi (Stroke) baada ya kupigwa busu la shingo kwa mtindo wa kunyonywa (Love Bite) na mpe [...]
Leo katika historia: Redio ya BBC iliasisiwa rasmi
Tarehe kama ya leo mwaka 1922, Redio ya BBC iliasisiwa huko England. Redio ya BBC awali ilikuwa ya mtu binafasi, lakini mwaka 1927 redio iliwekwa chin [...]
Ijue Siri ya wanawake wa Kusini mwa Afrika kuwa maumbo namba 8
Wanawake wa nchi za Kusini mwa Bara la Afrika maumbile yao ni tofauti na wanawake wa nchi nyingine. Wanawake kutoka nchi kama Botswana, Namibia, Swazi [...]
Leo katika historia: Shirika la Chakula Duniani (FAO) liliasisiwa
Tarehe na mwezi kama wa leo (Oktoba 16) mwaka 1945, Shirika la chakula duniani (FAO) liliasisiwa. Shirika hilo ambalo hati ya kuasisiwa kwake lilipiti [...]
Maid – filamu itakayonogesha wikiendi yako
Baada ya kupata manyanyaso kutoka kwa mzazi mwenzie aliyekuwa akimtukatana, kumpiga na hata kumrushia vitu vya hatari kama chupa, Alex anashindwa kuvu [...]
Siri 5 unazopaswa kufahamu kuhusu bahati nasibu
Ni muhimu kabla hujaamua kuwekeza nguvu zako zote kwenye michezo ya bahati nasibu ukiamini michezo hiyo itakufanya uwe tajiri uyafahamu mambo haya kwa [...]
Vigezo vya kisheria vinavyofanya eneo kupewa hadhi ya Mkoa
Juni 2021 Katibu Mkuu Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Profesa Riziki Shemdoe aliulizwa na wanahabari kuhusu suala la kuazishwa kwa Mkoa mpya wa Chato na vig [...]