Category: Kimataifa
Aponzwa na biashara ya vidole
Mahakama nchini Zimbabwe imemfungulia mashtaka mtu mmoja kwa kufanya mzaha kuwa alikuwa sehemu ya kundi la watu wanaonunua vidole vya miguu vya binada [...]
Herrera apewa ubalozi Zanzibar
Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla akimkabidhi cheti cha ubalozi wa Utalii wa Zanzibar kiungo wa timu ya [...]
Abebewa mimba
Mwigizaji nyota wa filamu za Nollywood nchini Nigeria, Ini Edo amefunguka kwa mara ya kwanza yeye ni mzazi wa mtoto mmoja na alipata mtoto huyo kupiti [...]
Nafasi za kazi Ubalozi wa Tanzania nchini India
Ubalozi wa Tanzania nchini India unatangaza nafasi za kazi kwa madereva.
[...]
Kim: Nipo tayari kula kinyesi nibaki kuwa kijana
Mwanamitindo maarufu duniani Kim Kardashian ameshangaza wengi baada ya kusema kwamba yupo tayari kula kinyesi kama kinaweza kumsaidia kuonekana kijana [...]
Samaki walewa madawa
Katika Jimbo la Florida, Marekani, samaki aina ya 'bonefish' wamekutwa wakiwa wamelewa madawa mbalimbali ya binadamu.
Kati ya samaki 93 waliopimwa [...]
Tahadhari juu ya bei ya sukari duniani
Bei ya sukari inatarajiwa kupanda kutokana na vikwazo vya kuuza nje na mataifa kadhaa muhimu yanayozalisha bidhaa zinazotaka kudhibiti kupanda kwa bei [...]
Viwango vya kubadili fedha Mei 30, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania.
[...]
Watu 31 Wafariki wakigombea chakula
Takriban watu 31 wamefariki wakati mkanyagano ulipozuka kusini mwa Nigeria wakati wa hafla ya kutoa misaada ya kanisa ambapo chakula kilikuwa kikigawa [...]
Anayesadikiwa kuua wanae azimia
Baba wa watoto watatu wa Shule ya Msingi Ratanda na Shule ya Sekondari ya Khanya Lesedi waliofariki dunia baada ya kupewa 'energy dink' (kinywaji cha [...]