Category: Kimataifa
Kenya na Tanzania zaondoa vikwazo 56 vya kibiashara
Tanzania na Kenya zimefanikiwa kuondoa vikwazo vingine 10 vya kibiashara na kutimiza jumla ya vikwazo vilivyoondolewa kufikia 56 baada y [...]
Pambano kali kati ya Putin na Elon Musk
Tajiri mkubwa duniani Elon Musk, ameibua mjadala katika mitandao ya jamii baada ya kuandika kupitia ukurasa wake wa twitter kuwa anaomba pambano la ng [...]
EAC yatahadharisha magonjwa ya mlipuko
Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) imezitaka nchi za wanachama wake kuongeza kasi ya kuzuia na kukabiliana na magonjwa ya mlipuko katika kipindi cha mv [...]
Polepole apata shavu ubalozi
Aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi, Humphrey Polepole ameteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi katika uteuzi uliofa [...]
Maneno 150 yaongezwa kwenye misamiati ya kiswahili
Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA) limefanikiwa kuongeza misamiati mipya 150 kwenye Toleo la tatu la Kamusi Kuu ya Kiswahili kama hatua ya kukikuza [...]
Obama akutwa na Covid-19
Rais mstaafu wa Marekani, Barack Obama amethibitisha kukutwa na Covid-19 taarifa aliyochapisha kwenye ukurasa wa twitter na kusema anawakumbusha watu [...]
Aliyepandikizwa moyo wa nguruwe afariki
David Bennett binadamu wa kwanza kufanyiwa upasuaji wa upandikizwaji wa moyo wa nguruwe amefariki dunia Machi 8 mwaka huu, David amefariki akiwa na um [...]
Pasha afariki vitani
Muigizaji maarufu kutoka nchini Ukraine, Pasha li (33) amefariki akiwa vitani baada ya kushambuliwa na wanajeshi wa jeshi la Urusi katika mji wa Irpin [...]
URUSI: BEBA BENDERA YA TZ
Wanafunzi waliokuwa wamekwama katika mji wa Sumy-Ukraine kuanza kuondolewa kwa kupitia mpaka wa Urusi huku wakiambiwa wabebe mabegi na bendera za Tanz [...]
Miss Ukraine 2015 abaki kupigana vita na Urusi
Miss Ukraine mwaka 2015, Anastasia Lena ameamua kubaki nchini humo na kujiunga na jeshi la Ukraine ili kupigana vita iliyoanzishwa na Urusi tangu juma [...]