Category: Kimataifa
Polisi Uganda yaua washukiwa watano wa ISIS
Polisi nchini Uganda wameua watu watano na kukamata wengine 21 wanaoshukiwa kuhusika kwenye milipuko miwili ya mabomu iliyotokea juma lililopita ambap [...]
Wabakaji kuhasiwa kwa kemikali
Wabunge wa Pakistan wamepitisha sheria ambazo zitaruhusu kuharakishwa kwa kesi pamoja na adhabu kali dhidi ya wabakaji ikiwemo kuwawekea kemikali kwen [...]
Simon Msuva akutwa na Korona
Timu ya Wydad Casablanca ya Morocco itamkosa nyota wake Simon Msuva wakati mtanange dhidi ya Shabab Al-Sawalem siku Ijumaa katika dimba la Ahmed Shouk [...]
Wasanii watano (5) waliowahi kuteswa na mikataba mibovu ya ‘Record Labels’
Stori kubwa kwa sasa kwenye hapa nchini Tanzania ni msanii Harmonize a.k.a Konde Boy kutema nyongo yote juu ya aliyekuwa bosi wake Diamond Platnumz pa [...]
Davido amuomba hela Diamond Platnumz
Msanii Davido kutoka nchini Nigeria, akiwa kwenye maandalizi ya siku yake ya kuzaliwa amekuja na staili mpya ya kuomba hela watu wake wa karibu kupiti [...]
Nchi zilizohalalisha kilimo cha bangi Afrika
Bangi imelimwa miaka mingi sana barani Afrika, licha ya kwamba nchi nyingi zimekuwa na sheria za kuzuia utumiaji wa zao hilo, sheria ambazo zilirithiw [...]
Jeshi la Umoja wa Ulaya (EU) lawafuata magaidi Msumbiji
Wakati vita dhidi ya magaidi ikipamba moto nchini Msumbiji katika eneo la Cabo Delgado, Umoja wa Ulaya umeazimia kujiunga na SADC pamoja na Rwanda kup [...]
Breaking: Mfahamu mtu wa pili kupona virusi vya UKIMWI duniani
Mwanamke mmoja kutoka Taifa la Argentina amekuwa mtu wa pili duniani kuingizwa kwenye kumbukumbu ya watu waliopona virusi vya UKIMWI bila kutumia dawa [...]
Wapenzi wafunga ndoa ‘Zoom’
Mwanadada Brit Ayse kutokea Lancaster Marekani mwenye umri wa miaka 26 amefunga ndoa na mpenzi wake Darrin mwenye umri wa miaka 24 kupitia mazungumzo [...]
Ujenzi Bandari ya Bagamoyo unavyochochea vita China na India
Hivi karibuni kumekuwa na mvutano wa kati ya mataifa mawili makubwa duniani, China na India. China na India kwa miezi 17 mlulizo katika eneo la ladakh [...]