Category: Kimataifa
Urusi kuweka sheria ngumu kuwahi kutokea duniani juu ya UVIKO-19
Kituo cha runinga cha nchini Urusi Russia Today (RT) kimeripoti kwama Taifa la Urusi linajiandaa kuweka sheria ngumu ya kupambana na UVIKO-19 ambayo h [...]
Muanzilishi wa WikiLeaks kufunga ndoa gerezani
Mamlaka ya magereza nchini Uingereza imempa ruhusu Julian Assange ambaye ni muazilishi wa mtandao WikiLeaks kufunga ndoa na mchumba wake Stella Morris [...]
Ugonjwa usiojulikana waibuka nchini Congo
Ugonjwa usiojulikana, umezuka Katika Jamhuri ya Kidemorasia ya Congo (DRC) huku ukiwaathiri watoto.
Imeelezwa kwamba karibu watoto 7,000 wako katika [...]
Mtoto huyu aweka rekodi ya kuzaliwa na uzito mdogo zaidi duniani
Mwaka 2020 huko Birmingham, Alabama nchini Marekani alizaliwa mtoto akiwa na wiki 21 tu na uzito gramu 420. Kwa kawaida mtoto huzaliwa baada ya wiki [...]
Bunge lapiga kura ya kutokuwa na imani ya Rais
Bunge la Taifa la Chile limepiga kura ya kutokuwa na imani dhidi ya Rais wa nchi hiyo Sebastian Pinera baada ya tuhuma za kuvunja sheria za [...]
Prince Harry akiri kumuonya Bosi wa Twitter
Prince Harry kutoka kwenye familia ya Malkia wa Uingereza, ametamka kuwa aliwahi kumuonya mmiliki na mkurugenzi wa mtandao wa Twitter, Jack Dorsey kup [...]
Video za Tiktok kumfikisha Don Jazzy Zanzibar
Mtayarishaji maarufu wa muziki, mtunzi wa nyimbo, mjasiriamali, na mfadhili na mmiliki wa lebo ya Mavins Records Don Jazzy ameweka wazi kwamba mwakani [...]
Mtoto wa miaka 5 ajifungua mtoto wa kiume
Lina Medina kutoka nchi ya Amerika Kusini ya Peru alivunja rekodi ya kuwa mama mchanga zaidi duniani kujifungua mtoto akiwa na umri wa miaka 5, miezi [...]
Waziri Mkuu anusurika kuuawa
Waziri Mkuu wa Iraq, Mustafa al-Kadhimi, amenusurika kuuawa katika jaribio la mauaji katika mashambulizi yaliyofanywa kwa kutumia ndege inayorushwa bi [...]
Mtoto azaliwa na mkia wa ajabu Brazil
Jarida la The Sun la nchini Uingereza limeripoti kuwa katika Hospitali ya watoto ya Albert Sabin katika mji wa Fortaleza nchini Brazil amezaliwa mtoto [...]