Category: Kimataifa
Tutarajie nini kwenye mkutano wa 76 wa Baraza la Umoja wa Mataifa?
Mkutano wa 76 wa Umoja wa Mataifa utaanza rasmi Jumanne Septemba 21, 2021 jijini New York (Makao Mkuu wa Umoja wa Mataifa), Marekani. Mkutan [...]
Leo katika historia
Siku kama ya leo miaka 190 iliyopita, lilitengenezwa basi la kwanza lililokuwa likitumia nishati ya mvuke. Basi hilo lilikuwa na uwezo wa kubeba abiri [...]
Rais Samia awasili Marekani, apokelewa kwa shangwe
Rais Samia Suluhu Hassan amewasili nchini Marekani kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.
Mara baada ya kuwasili jijini New Yo [...]
Leo katika historia
Mwaka 1810: Chile ilipata uhuru wake kutoka Hispania iliyoitawala nchi hiyo tangu karne ya 16. Chile ina eneo la kilomita za mraba 4,300 katika mwamba [...]
Yafahamu mataifa yenye nguvu kubwa za kijeshi Afrika
Mtandao wa Global Firepower kupitia utafiti wake umeorodhesha uwezo wa kila jeshi barani Afrika kulingana na idadi ya wanajeshi, uwezo wake wa angani, [...]
Risasi za AK47 zakamatwa ndani ya gari
Polisi nchini Kenya wamekamata gari lililotelekezwa kando ya barabara, karibu na kituo cha mafuta katika eneo la Mihango, kaunti ya Nairobi likiwa na [...]
Hizi hapa sifa 13 za iPhone 13
- Ina umbo jembamba ambalo utafiti unaonesha watu wengi wanapenda simu nyembemba kwa sasa.
- Kioo chake kina teknolojia mpya aina ya ‘Cer [...]
Sudan kuingia mkataba wa kijeshi na Urusi
Balozi mdogo wa Sudan nchini Urusi ameashiria baadhi ya marekebisho katika makubaliano ya kijeshi kati ya nchi yake na Russia.
Anwar Ahmed Anwar, b [...]
Utalipwa Milioni 3 kutazama filamu za kutisha
Inaonekana kuwa kazi ngumu na ya kutisha, lakini ni njia rahisi pia kuingiza fedha.
Kampuni ya FinanceBuzz huko nchini Marekani inatafuta mtu ambay [...]
Wanasiasa wapigwa marufuku kuongea makanisani
Askofu wa Mkuu wa Kanisa la Kianglikana nchini Kenya Jackson Ole Sapit amepiga marufuku wanasiasa kuongea katika madhabahu ya kanisa hilo kote nchini [...]