Category: Kitaifa
Rais Samia atoa msamaha kwa wadaiwa kodi ya ardhi
Serikali imetangaza masamaha wa kodi kwa wadaiwa sugu wa ardhi zikiwemo taasisi za dini na mashirika kulipa madeni yao bila riba katika kipindi cha mi [...]
Serikali yatoa tamko kuhusu ugonjwa usiofahamika
Taarifa kwa vyombo vya habari na wananchi kuhusu ugonjwa usiofahamika Mkoani Lindi
[...]
Mwongozo wa kuomba mikopo
Bodi ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imefungua dirisha la mikopo kwa wanafunzi kwa mwaka 2022/23 na kutoa mwongozo wa namna ya kuomba mikopo.
[...]
Bei ya umeme kwa uniti
Waziri wa Nishati, January Makamba ametangaza Sh.1,600 kuwa bei mpya ya umeme kwa uniti, katika maeneo yanayopata huduma hiyo nje ya gridi, hasa umeme [...]
Watakaosoma Kiswahili kupewa kipaumbele mikopo
Huenda itakuwa tabasamu kwa wanafunzi wanaotarajia kusoma masomo ya lugha ikiwemo Kiswahili katika vyuo vikuu baada ya Serikali kutangaza kuyapa kipau [...]
Sababu ya matuta mengi ‘Kilwa Road’
Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) umesema matuta yaliyowekwa katika Barabara ya Kilwa mkoani Dar es Salaam siyo ya kudumu, bali yanalenga kupung [...]
Fahamu sababu za kutokwa na damu puani
Kutokwa na damu puani ni hali inayotokea watu wengi hasa wakati wa utoto na uzee. Damu hii hutoa kwenye kuta za ndani za pua. Kuta hizi zimejaa miship [...]
Ugonjwa mpya Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amekiri kuwepo kwa ugonjwa usiofahamika ambao husababisha watu kutokwa damu puani n [...]
Dar es Salaam jiji la 6 kwa usafi Afrika
Rais Samia amesema kwamba jarida la Africa Tour Magazine, limelitangaza jiji la Dar es Salaam, ni Jiji la sita kwa usafi barani Afrika, ambapo katika [...]
Pacha mmoja afariki
Pacha mmoja kati ya waliotenganishwa Julai Mosi mwaka huu (Rehema na Neema) katika Hospitali ya Muhimbili amefariki dunia baada ya hali yake kubadili [...]