Category: Kitaifa
Kodi zaipaisha TRA
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema mwezi uliopita imekusanya Sh trilioni 2.06 katika lengo la kukusanya Sh trilioni 1.98 taarifa iliyotolewa na [...]
Masoud Kipanya aja na gari la kuchaji
Mtangazaji na mchora katuni maarufu nchini Tanzania, Masoud Kipanya kupitia kampuni yake ya Kaypee Motors amezindua gari ndogo ya mizigo inayotumia um [...]
Wakutwa na madawa ya kulevya gramu 70.77
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limefanikiwa kumkamata maeneo ya Osunyai, Abdi Hamis (27) mfanyabiashara, mkazi wa Ngarenaro na Ally Said (25) dereva na [...]
Njombe wamshukuru Rais Samia
Halmashauri ya Njombe mji ni miongoni wa Halmashauri ilionufaika na fedha za mpango wa ustawi na mapambano dhidi ya UVIKO-19.
Miongoni mwa shule zi [...]
Mambo yanayomtambulisha Abdulrahman Kinana
Umaarufu wake kwenye siasa ulimfanya Abdulrahman Kinana azidi kuwa maarufu kwenye jamii na zaidi kati ya wanachama wa CCM.
Leo hii Machi 31, 2022 k [...]
Rick Ross kufika kilele cha Mlima Kilimanjaro
Rapa wa Marekani William Leonard Roberts II (Rick Ross) leo Machi 31, 2022 katika mahojiano yake na Full Send Podcast ameweka bayana nia yake ya kupan [...]
Rais Samia apangua baraza la mawaziri
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko katika Wizara ya Maliasili na Utalii, Wizara ya Katiba na Sheria na Ofisi ya Waziri mKuu (Bunge, Sera na [...]
Bashungwa apigwa spana na Samia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa mwaka 2020/2021 kutoka kwa Mkag [...]
Taarifa kwa umma
Taarifa kwa umma kutoka Wizara ya Afya kuhusu magonjwa ya milipuko na matukio yanayoathiri afya ya binadamu hapa nchini.
[...]
Mwenge wa Uhuru kuondoka na vigogo
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na watu wenye ulemavu , Patrobas Katambi amesema mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka huu zinatarajiwa [...]