Category: Kitaifa
100 wakabidhiwa nyumba Magomeni Kota
Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kwa kushirikiana na Kamati ya Wakazi wa Magomeni Kota, wameanza kukabidhi nyumba kwa watu 100 kati ya 644 wanaopaswa [...]
EAC yaongeza mwanachama mpya
Kikao cha Wakuu wa nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wameiingiza Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) kuwa mwanachama wa jumuiya hi [...]
Mabadiliko Jeshi la Polisi
Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro amefanya uhamisho na mabadiliko kwa baadhi ya Makamanda wa Polisi wa mikoa.
[...]
Neema kwa mafundi uwashi Mtwara
Ilizoeleka kwamba miradi inayotokea kwenye maeneo mbalimbali nchini tenda ilikuwa ikipewa kwa mafundi na wakandarasi kutoka nje lakini hali imekuwa to [...]
Alawiti na kubaka kisa chumvi
Jeshi la polisi mkoani Geita linamtafuta mkazi wa kijiji cha Bukori (jina limehifadhiwa), kwa tuhuma za kuwabaka na kuwalawiti watoto watatu wa darasa [...]
Kubenea apigwa spana kesi ya Makonda
Maombi ya mwanahabari Saed Kubenea ya kumfungulia mashtaka ya matumizi mabaya ya madaraka aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda k [...]
Uchunguzi na matibabu ya TB ni bure
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema serikali imefuta gharama za uchunguzi kwa wagonjwa wote wenye dalili za kifua kikuu waweze kupata huduma hiyo kwa [...]
Mrema apata jiko kwa milioni 4.2
Mwenyekiti wa Tanzania Labour Party (TLP), Augustino Mrema leo Machi 24, 2022 amefunga pingu za maisha na mkewe Doreen Kimbi katika Parokia ya Uwombon [...]
Daraja la Tanzanite kubadilishwa
Rais Samia Suluhu Hassan amezindua daraja la jipya la Selander maarufu kama Tanzanite la jijini Dar es Salaam huku akipendekeza alama ya mwenge iliyow [...]
Mafinga wafurahia madarasa ya Samia
Shule ya Sekondari Ihanga jijini Mbeya ni kati za shule zilipewa fedha na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan na kujengwa kwa mfumo wa ghorofa kutokana na e [...]