Category: Kitaifa
Mwanafunzi aandika barua ya kuacha shule
Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Msimbati, Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara, Taufiki Salumu Hamisi ameandika barua yakuacha shule baada ya kuchaguli [...]
Jela miaka 60 baada ya kumbaka mama miaka 56
Mahakama ya Hakimu Mkazi Musoma imemhukumu kifungo cha miaka 60 jela, Daudi Samson (22) baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumbaka na kumlawiti mwana [...]
TANAPA yasikia kilio cha Hanscana, Lavalava na Mbosso
Baada ya mtayarishaji wa video nchini Hanscana kuandika kwenye ukurasa wake wa Instagram changamoto anazopata pindi aendapo kufanya kazi zake kwenye v [...]
Maombi ya Rais Samia kwa viongozi wa dini nchini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameeleza kukerwa na mauaji yanayoendelea nchini na kusema serikali inalaani matendo [...]
Nape atatua mzozo wa matangazo ya bunge kurushwa
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ameweka wazi hatima ya suala ya matangazo ya Bunge kurushwa mubashara lina haja ya [...]
Spika atoa onyo kwa mawaziri
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson, ametoa onyo kwa mawazari pamoja na manaibu wao kuhakikisha wanahudhuria vikao vya [...]
Neema kwa watakao hama Ngorongoro kwa hiari
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema serikali ipo tayari kulipa gharama zote kwa walio tayari kuhama kwa hiari eneo la Ngorongoro na kusisitiza wanaot [...]
TMA yatangaza ujio wa mvua kubwa
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya ujio wa mvua kubwa za wastani mpaka juu ya wastani katika kipindi cha masika (Machi-Mei) kw [...]
Zanzibar kupima Uviko-19 kidigitali
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeanza kutumia teknolojia ya skana za EDE kupima Uviko-19 kwa wasafiri wanaowasili na kusafiri kupitia uwanja wa nd [...]
Jamii ya wamasai yashukuru kujengewa madarasa
Wakazi wa kitongoji cha Umasaini kilichopo nje kabisa ya mji wa Pangani, wameishukuru Serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia madaras [...]