Category: Kitaifa
Rais Samia azikumbuka shule kongwe
Rais Samia azikumbuka shule kongwe Shule ya Sekondari ya Ufundi Mtwara ni miongoni mwa shule kongwe nchini Tanzania, Shule hii inasifika kwa kufundish [...]
Rais Samia ataja matumizi ya nembo ya sensa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametangaza tarehe 23 Agosti kama siku rasmi ya kuanza Sensa ya Watu na Makazi kwa mwa [...]
Moto masokoni tangu 2021-2022
Leo Aprili 8,2022 tukio jipya la moto limeripotiwa ambapo sehemu ya soko la Karume limetekea na moto. Matukio haya ya moto yameonekana kuongezeka hivi [...]
Viwango vya kubali fedha Aprili 8, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania.
[...]
Karume yaungua tena
Vibanda ndani ya soko la Karume mkoani Dar es Salaam vimeungua kwa mara nyingine, alfajiri ya saa 11 leo, Aprili 8, 2022.
Kamanda Elisa Mugisha wa [...]
Vita ya Urusi-Ukraine ilivyoathiri bei za mafuta
Kupanda kwa bei ya mafuta kumewaacha wamiliki wa vyombo vya moto, madereva daladala hata watembea kwa miguu kutaharuki pasi na kujua kuwa Tanzania si [...]
Afa maji akikimbia polisi
Hassani Mussa M’buyu (27) mkazi wa mtaa wa Sabasaba, Kata ya Jamhuri, Manispaa ya Lindi amekufa maji, baada ya kujitosa baharini kwa madai ya kukimbia [...]
Zijue njia 7 za kuokoa mafuta
Baada ya bei za mafuta kupanda nchini, watumiaji wengi wa vyombo vya moto wameanza kujiuliza ni namna gani wanaweza kumudu gharama hizo mpya.
Click [...]
Viwango vya kubadili fedha Aprili 07, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania.
[...]
Maambukizi ya Ukimwi yaongezeka
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi imewataka wahusika wote wa utoaji elimu na zana za kupambana na maambukizi na ueneaji wa kasi wa Ukimwi [...]