Category: Kitaifa

1 142 143 144 145 146 170 1440 / 1695 POSTS
Mafuta yaliyosalia nchini yanatosha kwa siku 15 tu

Mafuta yaliyosalia nchini yanatosha kwa siku 15 tu

Shirika la maendeleo la Petroli Tanzania (TPDC) limeweka bayana kwamba mafuta yaliyopo nchini kwa sasa yanatosha kwa matumizi ya siku saba 15 pekee, y [...]
Yohane Lauwo: ‘Guide’ wa kwanza kumpandisha mzungu mlima Kilimanjaro

Yohane Lauwo: ‘Guide’ wa kwanza kumpandisha mzungu mlima Kilimanjaro

Tumefundishwa shuleni kuhusu Hans Meyer kuwa mzungu wa kwanza kupanda Mlima Kilimanjaro 1889, lakini hatujui kwanini Yohani Lauwo amesahaulika, hatuja [...]
Spika Ndugai ampa onyo kali Jenerali Ulimwengu

Spika Ndugai ampa onyo kali Jenerali Ulimwengu

Mwanazuoni mbobevu nchini, Jenerali Ulimwengu amepewa onyo kali na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai kwa kile kilichoelezw [...]
Aiba mtoto kumridhisha mumewe.

Aiba mtoto kumridhisha mumewe.

Maria Zayumba anadaiwa kumwiba mtoto wa kike mwenye umri wa miaka sita anaesoma darasa la kwanza Mkoani Morogoro,  kisha kumsafirisha na kwenda nae Ir [...]
Spika Ndugai akemea sharti la kuajiri tu waliopita JKT

Spika Ndugai akemea sharti la kuajiri tu waliopita JKT

Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema sharti la kuajiri tu vijana waliopita Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) ni la kibaguzi ambalo halipaswi kuvumiliwa kwa k [...]
Mitego 380 yateguliwa hifadhi ya Taifa ya Nyerere

Mitego 380 yateguliwa hifadhi ya Taifa ya Nyerere

Wizara ya Maliasili na Utalii imefanikiwa kutegua nyaya za umeme 380 zilizokuwa zimetegwa katika hifadhi ya Taifa ya Nyerere iliyopo mkoani Morogoro i [...]
Adaiwa kujaribu kuwaua watoto wake kisha kujinyonga

Adaiwa kujaribu kuwaua watoto wake kisha kujinyonga

Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 40 kutokea kaunti ya Kericho nchini Kenya alijaribu kuwaaua watoto wake wawili na kisha kujinyonga, Mwanamke huyo [...]
Wagonjwa wa Presha hatarini kupata matatizo mfumo wa fahamu

Wagonjwa wa Presha hatarini kupata matatizo mfumo wa fahamu

Watafiti kutokea nchini Tanzania wamebaini wagonjwa wanaougua shinikizo la damu (blood pressure) la muda mrefu wapo hatarini kupata mabadiliko ya mfum [...]
Majina ya Watumishi waliopata vibali vya uhamisho kwa kubadilishana vituo vya kazi

Majina ya Watumishi waliopata vibali vya uhamisho kwa kubadilishana vituo vya kazi

Majina ya Watumishi waliopata vibali vya uhamisho kwa kubadilishana vituo vya kazi Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI Prof. Riziki Shemdoe ameridhia k [...]
Wamachinga wakaidi kukiona

Wamachinga wakaidi kukiona

Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Jumanne Shauri amesema wafanyabiashara wadogo maarufu kwa jina la Wamachinga wanaokaidi agizo la kutofanya biasha [...]
1 142 143 144 145 146 170 1440 / 1695 POSTS
error: Content is protected !!