Category: Kitaifa
Wanaotumia mvuke kujisafisha uke hatarini
Madaktari wameonya mataumizi ya njia za kujifukiza ukeni wakisema huua bakteria walinzi na kuweka hatarini kupata mambukizi ya magonjwa. Kauli ya wata [...]
Madini bado yanatoroshwa
Licha ya Serikali kutangaza kuziba mianya ya utoroshaji wa madini, baadhi ya wabunge wamesema bado rasilimali hiyo inatoroshwa. Mjadala huo mzito umei [...]
Mume auwawa kwa kutaka kuongeza mke wa pili
Limi Shija (55) mkazi wa Kijiji cha Kabage wilayani Tanganyika mkoani Katavi, anatuhumiwa kwa mauaji ya mume wake Masunga Kashinje (68), kisha mwili w [...]
Siku 5 za neema toka Bodi ya Mikopo kwa wanaotaka kuongezewa na waliokosa mkopo
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo (Jumamosi, Novemba 6, 2021) imefungua dirisha la rufaa ili kuwawezesha waombaji ambao hawajapa [...]
Maoni ya wadau juu ya faragha ya taarifa mitandaoni
Baada ya kelele za kutaka kuwepo kwa sheria ya kulinda data nchini kuwa nyingi, wadau mbalimbali wametaka hatua za haraka zichukuliwe ili kulinda fara [...]
Jela Maisha, kumbaka mtoto wa miaka miwili
Mahakama ya Hakimu Mkazi wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, imemhukumu kifungo cha maisha jela Maduhu Tarasisi Chubwa mwenye umri wa miaka 60 mkazi wa [...]
TRC wafunguka kuhusu video ya treni inayosambaa mtandaoni
Kutokana na video inayosambaa kwa kasi mtandaoni ikionesha treni ya Shirika la Reli Tanzania kutokea Kigoma kuelekea Dodoma ikiwa imechoka kiasi cha k [...]
Wataka magari yapite kwa tozo kwenye daraja la Tanzanite
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imependekeza kwamba magari yatakayopita kwenye daraja la Tanzanite (Daraja jipya la Salenda) jiji Dar es Salaam ya [...]
Mapendekezo 4 ya Bunge kumaliza sakata la Machinga
Kutokana na zoezi la kuwaondoa wafanyabiashara wadogo (Machinga) katika maeneo yasiyo rasmi na kuwapeleka katika maeneo waliyopangiwa, Bunge la Jamhur [...]
Mwenyekiti atishia kujiuzulu kwasababu ya kutoheshimiwa
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Ngassa Mboje, ametishia kujiiuzulu nafasi hiyo kwa madai ya kutokuheshimiwa na Mkurugenzi mtendaji wa [...]