Category: Kitaifa
Rais Samia awataka wananchi wa Kilimanjaro kudumisha amani na upendo
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi wa mkoani Kilimanjaro kudumisha amani ili kuipa Serikali nafasi ya kutatua changamoto zao akiwa kwenye uz [...]
Sabaya alivyowataja Magufuli na Mpango mahakamani kwenye utetezi wake
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya Hai, Lengai Ole Sabaya leo Ijumaa tarehe 15 Oktoba amehukumiwa miaka 30 Jela kwa makosa ya Unyang’anyi wa kutumia silaha. Huk [...]
Sabaya jela miaka 30
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wamehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la unyang’anyi wa kutumia silaha. Kabla [...]
Wasifu mfupi wa Lengai Ole Sabaya
Lengai Ole Sabaya amezaliwa 26/12/1986 mkoani Arusha. Amesoma Shahada ya Sayansi katika Elimu Chuo Kikuu cha Mtakatifu John Dodoma (St. John Universit [...]
Vigezo vya kisheria vinavyofanya eneo kupewa hadhi ya Mkoa
Juni 2021 Katibu Mkuu Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Profesa Riziki Shemdoe aliulizwa na wanahabari kuhusu suala la kuazishwa kwa Mkoa mpya wa Chato na vig [...]
Serikali kujenga chuo kikubwa cha TEHAMA nchini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza katika kumbukizi ya miaka 22 ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerer [...]
Sababu za serikali kutositisha Mbio za Mwenge
Rais Samia Suluhu Hassan leo ameongoza Watanzania katika kuzima Mwenge wa Uhuru pamoja na maadhimisho ya Kumbukizi ya Miaka 22 ya Kifo cha Mwalimu Jul [...]
Ahadi 6 za Rais Samia kwa wakazi wa Chato
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu amesema Serikali inakamilisha vigezo vitakavyoruhusu Wilaya ya Chato, iliyopo mkaoni Geita, kuwa mkoa.
Rais Samia am [...]
Jela miaka mitano kwa kuuza albamu ya Alikiba mtaani
Ofisa Mtendaji Mkuu na msimamizi wa hatimiliki kutoka Chama cha Hakimiliki Tanzania (COSOTA), Doreen Anthony Sinare amekemea vikali watu wanaouza mt [...]
Leo katika Historia: Mwl. Nyerere, Rais wa kwanza wa Tanzania anafariki
Hii ni siku ya kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa, Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere, Rais na mwasisi wa Tanzania.
Nyerere alizaliwa Aprili 13 [...]